Hongera sana dada yetu Blandina Nyoni(the Iron Lady) kwa kuisafisha NHC

Kila ulipopita ulifanya kazi ya kizalendo.Safisha NHC BILA HOFU.Usiogope kuchukiwa. Fanya maamuzi kwa wakati, ili wananchi walalahoi wanufaike na NHC kwa kupata nyumba za bei nafuu. NHC kulikuwa na giza nene. Tunataka NHC irudi kuhudumia wananchi wa kawaida. Ndiyo lengo lake la mwanzo. Sasa NHC wanakopa fedha kwaajili ya kuhudumia matajiri. NHC mabadiliko hayaepukiki.

Huyu aliondolewa Wizara ya Afya kwa kushiriki ufujaji wa pesa uliokithiri leo amekuwa Mzalendo.Mh!Inabidi nirudi hsule kujifunza upya maana ya UZALENDO
 
Kila ulipopita ulifanya kazi ya kizalendo.Safisha NHC BILA HOFU.Usiogope kuchukiwa. Fanya maamuzi kwa wakati, ili wananchi walalahoi wanufaike na NHC kwa kupata nyumba za bei nafuu. NHC kulikuwa na giza nene. Tunataka NHC irudi kuhudumia wananchi wa kawaida. Ndiyo lengo lake la mwanzo. Sasa NHC wanakopa fedha kwaajili ya kuhudumia matajiri. NHC mabadiliko hayaepukiki.
una hoja ya msingi lakini unaharibu unapomsifia Hugo Nyoni. Huyu si ndo alifanya ufisadi wa kutisa pale wizara ya afya wakati wa JK
 
Kila ulipopita ulifanya kazi ya kizalendo.Safisha NHC BILA HOFU.Usiogope kuchukiwa. Fanya maamuzi kwa wakati, ili wananchi walalahoi wanufaike na NHC kwa kupata nyumba za bei nafuu. NHC kulikuwa na giza nene. Tunataka NHC irudi kuhudumia wananchi wa kawaida. Ndiyo lengo lake la mwanzo. Sasa NHC wanakopa fedha kwaajili ya kuhudumia matajiri. NHC mabadiliko hayaepukiki.
Ikihudumia wananchi kama mnavyotaka itakufa tena na hakutakuwa na Mchechu mwingine.Ukiamua kuwa bepari usitake kuishi kijamaa na ukiamua kuishi kijamaa usitake kuishi kibepari.
 
Back
Top Bottom