Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,772
- 3,160
Naona kibonde,hando wanatetea ulaji wao
kaka REVO safi sana sisi tuendelee kuwapongeza wale wote wanaogusa maisha ya watu wengine.Kama kuna mtu anadhulumiwa kuna vyombo vya haki si busara kumrushia mtu jiwe pasipo na vivid evidence na kitu kingine sidhani kama wao cloud huwa wanawafuata watu na kuwalazimisha kufanya nao kazi ni media huru mtu anaenda mwenyewe.
Bila CLOUD AKINA linnah na wengine wangetoka vp?au ndo kupigava vikumbo barabarani.Penye ukweli tutasema.
Hongera sana clouds!
Naona kibonde,hando wanatetea ulaji wao
Nachukua nafasi hii adimu kuwapa pongezi kwa mengi mnayofanya,hasa kwa hili la kufanikisha msiba wa ndugu yetu mpendwa A.Mangwair,Ni wazi mlijitoa na kujinyima ili jamii ipate kujua na kufuatilia.
Kwanza kwa kitendo tu cha kumtuma kijana wenu kwenda mpaka S.Africa kutangaza moja kwa moja na kutuhabarisha
Watanzania ni JAMBO KUBWA na kiukweli kabisa jambo hilo kwa kawaida ilipaswa kufanyika na serikali kwa kufuatilia kifo
cha mtu wake lakini ninyi hamkujali hilo mkachukua jukumu hilo.Hakika wengi wetu tumefarijika sana.
Basi nawaombeni muendelee na moyo huo na pongezi nyingi ziwaendee viongozi wote hasa RUGE NA KUSAGA.
Special thanks also goes to MILLAD Ayo who deliberately dare to inform us day to night what happened,going there and here just to make us informed.May God give you long life for your kindness and heartfelt toward the whole thing.
You are so kind and hospitality along the way!Keep it up.EXCELLENT!(Toka south moja kwa moja studio ulitisha!!)
Pia kumbukeni usemi usemao mti wenye matunda do hasa upigwao mawe, mti mkavu watu hawatakuwa na habari nao.
So you just keep going we are proud of you!
tupo wengi ila sema tu hatupendi malumbano yasiyo na maana,
hata wakati mwingine kukaa kimya ni jibu kwa mjinga!
sawa, wote tunatetea ulaji wetu ila sio kimatakomatako km huyu anaejiita hello
mimi kawa wewe tu mwaya!
Najua clouds mmeumia sana kuona ANACONDA anachukua tuzo.na bado
Nachukua nafasi hii adimu kuwapa pongezi kwa mengi mnayofanya,hasa kwa hili la kufanikisha msiba wa ndugu yetu mpendwa A.Mangwair,Ni wazi mlijitoa na kujinyima ili jamii ipate kujua na kufuatilia.
Kwanza kwa kitendo tu cha kumtuma kijana wenu kwenda mpaka S.Africa kutangaza moja kwa moja na kutuhabarisha
Watanzania ni JAMBO KUBWA na kiukweli kabisa jambo hilo kwa kawaida ilipaswa kufanyika na serikali kwa kufuatilia kifo
cha mtu wake lakini ninyi hamkujali hilo mkachukua jukumu hilo.Hakika wengi wetu tumefarijika sana.
Basi nawaombeni muendelee na moyo huo na pongezi nyingi ziwaendee viongozi wote hasa RUGE NA KUSAGA.
Special thanks also goes to MILLAD Ayo who deliberately dare to inform us day to night what happened,going there and here just to make us informed.May God give you long life for your kindness and heartfelt toward the whole thing.
You are so kind and hospitality along the way!Keep it up.EXCELLENT!(Toka south moja kwa moja studio ulitisha!!)
Pia kumbukeni usemi usemao mti wenye matunda do hasa upigwao mawe, mti mkavu watu hawatakuwa na habari nao.
So you just keep going we are proud of you!
Kama huna cha kuandika basi pandisha gagulo kisha chapa lapa...