Hongera sana cloud media group kwa kazi iliyotukuka!

Heloo

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,391
3,402
Nachukua nafasi hii adimu kuwapa pongezi kwa mengi mnayofanya,hasa kwa hili la kufanikisha msiba wa ndugu yetu mpendwa A.Mangwair,Ni wazi mlijitoa na kujinyima ili jamii ipate kujua na kufuatilia.
Kwanza kwa kitendo tu cha kumtuma kijana wenu kwenda mpaka S.Africa kutangaza moja kwa moja na kutuhabarisha
Watanzania ni JAMBO KUBWA na kiukweli kabisa jambo hilo kwa kawaida ilipaswa kufanyika na serikali kwa kufuatilia kifo
cha mtu wake lakini ninyi hamkujali hilo mkachukua jukumu hilo.Hakika wengi wetu tumefarijika sana.
Basi nawaombeni muendelee na moyo huo na pongezi nyingi ziwaendee viongozi wote hasa RUGE NA KUSAGA.
Special thanks also goes to MILLAD Ayo who deliberately dare to inform us day to night what happened,going there and here just to make us informed.May God give you long life for your kindness and heartfelt toward the whole thing.
You are so kind and hospitality along the way!Keep it up.EXCELLENT!(Toka south moja kwa moja studio ulitisha!!)
Pia kumbukeni usemi usemao mti wenye matunda do hasa upigwao mawe, mti mkavu watu hawatakuwa na habari nao.
So you just keep going we are proud of you!
 
Ujambazi wa jasho la wasanii nayo kazi iliyo tukuka?
 
napenda tu walivyoamua wakalia wajinga kimya.. ndio busara
 
naunga mkono hoja, hongera sana Clouds Fm! Wenye wivu wajinyonge

kaka REVO safi sana sisi tuendelee kuwapongeza wale wote wanaogusa maisha ya watu wengine.Kama kuna mtu anadhulumiwa kuna vyombo vya haki si busara kumrushia mtu jiwe pasipo na vivid evidence na kitu kingine sidhani kama wao cloud huwa wanawafuata watu na kuwalazimisha kufanya nao kazi ni media huru mtu anaenda mwenyewe.
Bila CLOUD AKINA linnah na wengine wangetoka vp?au ndo kupigava vikumbo barabarani.Penye ukweli tutasema.
Hongera sana clouds!
 
Kama wanaibiwa si wapeleke malalamiko sehemu husika ili sheria zifuatwe?
Au wanafanya kazi kishkaji bila kuwa na mikataba?

Shtuka...
Na ingekuwa ivyo akina REJINA MWALEKWA na wengine wasingekimbia huko kunakoitwa kuzuri na kwehnda CLOUDS
UKIKUTANA nao wamebadilika na kunawili!Clouds ni mlezi wa wengi! ukiwa pale lazima ushine! wapo wapi akina FINA MANGO? Bado hamjashtuka tu?
 
Washabiki wa ruge kumbe wamo wengi! Ila tatizo lako ruge hutaki kuja na verified id ili tuwe tunakuhoji, yani kila uchao unapiga propaganda kupitia fake id. Najua utaibuka sasa hivi kureply, karibu.
 
Ata mm nimegundua kua uyu ni Ruge..kaka mzima lakini kwnn haukubali hali halisi kua ume pwaya sana kipind ichi ujiuliz kwnn kila mtu anakunyooshea kidole ww tu
 
Ata mm nimegundua kua uyu ni Ruge..kaka mzima lakini kwnn haukubali hali halisi kua ume pwaya sana kipind ichi ujiuliz kwnn kila mtu anakunyooshea kidole ww tu

Nawe umemwona ee? Subiri sasa mashambulizi toka kwa wake zake waliomo humu yaani utaburudika na comment zao.
 
ata mm nimegundua kua uyu ni ruge..kaka mzima lakini kwnn haukubali hali halisi kua ume pwaya sana kipind ichi ujiuliz kwnn kila mtu anakunyooshea kidole ww tu

hata sura yake siijui.wenye wivu mtajinyogaje
viva clouds viva ruge usiwajali hao njaa kali.
 
washabiki wa ruge kumbe wamo wengi! Ila tatizo lako ruge hutaki kuja na verified id ili tuwe tunakuhoji, yani kila uchao unapiga propaganda kupitia fake id. Najua utaibuka sasa hivi kureply, karibu.
tupo wengi ila sema tu hatupendi malumbano yasiyo na maana,
hata wakati mwingine kukaa kimya ni jibu kwa mjinga!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom