Hongera sana Chadema kwenye matokeo ya udiwani ...

Hongera sana kwa Makamanda wöote walopigania kwa namna moja ama nyingne kupelekea ushindi huu.
 
safi sana.
avatar38226_6.gif


Mkuu avatar yako inaelekeana na ya Barubaru, yule jamaa aliyepo Oman (Uamsho). Wakati fulani huenda nitakuja kukuomba uibadilishe!
 
Uchaguzi wa madiwani leo ni kuwa Ccm ndio wamepoteza zaidi kwani mpaka sasa wao ndio wamenyanganywa kata nyingi zaidi hadi dakika hii na cdm wanapaswa kupongezwa kwani mpaka sasa wao ndio wamefanikiwa kuongeza idadi ya madiwani kulinganisha na Ccm ambao wamepoteza kata lukuki mpaka muda huu.

Sababu ni kuwa Cdm walikuwa wamepoteza madiwani wawili wa kata za rombo na mvomero na zote wamafanikia kuzirejesha kwenye himaya yao , tena kwa kishindo kikubwa sana na wameongeza za Ccm mpaka sasa kama ifuatavyo,

1.Daraja mbili - Arusha
2. Mlangali - Ludewa
3. Mpwapwa .dodoma
4. Ipole SIkonge

Tlp wamerejesha kata yao ya KIlema kusini VUnjo na Cuf wameongeza kata ya LIwale huko Lindi , na hivyo mpaka sasa inaonyesha kuwa Ccm ndio wamepoteza mpaka matokeo haya ya muda huu , tunasubiri matokeo mengine n ntawaju- baadae
Kama huna taarifa za uhakika usitoe matokeo mpwapwa CDM chali
 
Tlp wamerejesha kata yao ya KIlema kusini VUnjo na Cuf wameongeza kata ya LIwale huko Lindi , na hivyo mpaka sasa inaonyesha kuwa Ccm ndio wamepoteza mpaka matokeo haya ya muda huu , tunasubiri matokeo mengine n ntawaju- baadae[/QUOTE]
Ni kata ya Makta wilaya ya Liwale Mkoa wa Lindi
 
Safi sana hii ni dhahiri kuwa 2015 ni mwendo mdundo,hakuna kulala mpaka kieleweke
 
Shukrani kwa pongezi,
vilevile kwa yale maeneo ambayo CHADEMA hatujashinda yanahitaji kupelekewa ukombozi wa kifikra waelimishwe waweze kuleta mabadiliko ya kweli.

Hivyo ni lazima M4C iendelee nchi nzima, na ili kufanikisha hili ni wajibu wa kila mmoja wetu kuchangia harakati hizi.

Changia M4C kwa M-Pesa kupitia namba 111333
Sasa unaweza kuchangia CHADEMA kwa njia ya M-Pesa

Hatua za kufuata:

  1. Bonyeza *150# kisha tuma, kwa kutumia simu yako ya mtandao wa Vodacom.
  2. Chagua huduma Na 4, yaani "Lipia bili yako".
  3. Chagua Na.1
  4. Ingiza namba ya Kampuni ambayo ni 111333
  5. Weka Kumbukumbu ya malipo (Ambayo ni namba ya simu ya Mchangiaji)
  6. Weka kiasi (weka kiasi chochote cha fedha upendacho kuichangia CHADEMA)
  7. Weka namba yako ya Siri ya akaunti yako ya M-Pesa.
  8. Bonyeza Na.1 kuthibitisha mchango wako.
Asante sana kwa kuichangia CHADEMA. Hakuna kulala mpaka kieleweke!
M4C inaendelea tena lini? waanze na sisi tuanze kuchangia.
 
Uchaguzi wa madiwani leo ni
kuwa Ccm ndio wamepoteza zaidi kwani mpaka sasa wao ndio wamenyanganywa
kata nyingi zaidi hadi dakika hii na cdm wanapaswa kupongezwa kwani
mpaka sasa wao ndio wamefanikiwa kuongeza idadi ya madiwani kulinganisha
na Ccm ambao wamepoteza kata lukuki mpaka muda huu.


Sababu ni kuwa Cdm walikuwa wamepoteza madiwani wawili wa kata za rombo
na mvomero na zote wamafanikia kuzirejesha kwenye himaya yao , tena kwa
kishindo kikubwa sana na wameongeza za Ccm mpaka sasa kama ifuatavyo,
Mkuu hapo kwenye red upo sahihi kabisa
1.Daraja mbili - Arusha
2. Mlangali - Ludewa
3. Mpwapwa .dodoma
4. Ipole SIkonge

Tlp wamerejesha kata yao ya KIlema kusini VUnjo na Cuf wameongeza kata
ya LIwale huko Lindi , na hivyo mpaka sasa inaonyesha kuwa Ccm ndio
wamepoteza mpaka matokeo haya ya muda huu , tunasubiri matokeo mengine n
ntawaju- baadae
 
Back
Top Bottom