Hongera sana 'Captain' Mbwana Samatta 'Poppa' kwa kuamua 'Kujivunja' ili ukwepe 'Aibu' ya Taifa Stars 'Kubugizwa' Magoli na Tunisia

Muulize kwanza mama yako kafuta? Kila siku nakwambia wewe ni mropokaji, bichwa maji... Unaiombea timu ifungwe magoli mengi ili iweje?
Kwani na Wewe yale 'Magoli' mengi unayofungwa na 'Mwarabu' wako 24/7 huwa ni ya nini au ili iweje? Ratiba yako ya leo na 'Mwarabu' inasemaje?
 
Mwenyezi Mungu katuumba 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' Wachache sana hapa Ulimwenguni. Poleni nyote!!
hata wezi wanasena n talent walizopewa na mwenyeZi mungu.
Unaweza ukawa game chenger ila in negative kama ulivyo ww, unashindwa mshauli Samata apiganie taifa unasema unamuunga mkono afu unataka kusema we n game chenger, sa umechange nn hapo🚶🚶🚶
Hujaintertain MTU hapo zaidi ya kutuuzi tu😞😞😞
 
Nadhani isingekuwa 'Mikwara' ya Wazazi wangu kuwa nisipoachana na Mpira wataniachia 'Laana' leo hii ningekuwa ama Liverpool FC au AC Milan.
Ndiyo kesho usikose uwanjani kuwashangalia vijana sijajua kwa nini unachezwa saa 4 usiku.Watu kibao humu walikuwa wanasema Stars itafungwa si chini ya goli 8.!Kesho tunashinda njooni kwa wingi
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom