Hongera sana Balozi wa Japan kwa Kutumia Kiswahili


Masulupwete

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2012
Messages
764
Likes
136
Points
60
Masulupwete

Masulupwete

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2012
764 136 60
Wakati viongozi wetu wengi wamekuwa wakinga'ng'ania kutumia kiingereza (japo wengine kinawagonga), huyu bwana anapohudhuria matukio mbalimbali mfano ufunguzi wa miradi n.k yeye amekuwa anatumia lugha ya kiswahili MWANZO HADI MWISHO.

Safi sana mhe. balozi.
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,749