Hongera Regia, Mbunge kupitia viti maalum CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hongera mama, usisahau lakini kwamba bado tunakudai jimbo la kilombero kupitia mahakama. Itakuongezea heshima na pia tutapata mbunge mwingine viti maalumu
 
Go Regia...hongera sana na nakutakia kila la heri katika mapambano yaliyopo mbele yako....usiogope kuwa mstari wa mbele kutetea haki....tupo pamoja na wewe kupigana na mafisadi
 
I see far like astronomers, predictive like Nostradamus,
Not Cleo but call me paranormal
 
Bravo Regia. Go and prove akina Kiranga wrong!!
Mundu... i do belive Kiranga and Regia can be separated, kama unampongeza Regia fanya hivyo ila haya ya kuchanganya na kiranga naona kama ni abusive to both

thanks
 
Hongera dada Regia................

USHAURI
1.Tumia muda mwingi kuisoma Katiba yetu.............na uielewe....kwani umekuwa dhaifu mno kwenye kuielewa katiba yetu
2.Soma sheria za Bunge na kanuni zake

All the best........

The Ogah
 
constructive criticsm
 
Hata mimi nampongeza sana dada yangu huyu kwa kuwa niliumia walipomchakachulia matokeo yake.
Hpongera sana.
 
Bravo Regia. Go and prove akina Kiranga wrong!!

If the truth ain't me, then the truth can't be.

Kiranga alishatabiri Regia atashindwa uchaguzi na kupewa ubunge wa mezani, sasa atani prove wrong wapi?

If you want Kiranga to be mean, Kiranga anaweza kusema yeye ndiye aliyem prove Regia wrong, kwamba Regia hawezi kushinda uchaguzi.

Au mnataka Kiranga awatabirie career ya Regia bungeni itakuwaje pia ?

In the third person too, don't think I don't know it. Sheesh.

Don't make me rain brimstone, sulphur and fire on her parade already.
 
K' Mundu is just Mundu bro... may i send a dove?

respect
 
If the truth ain't me, then the truth can't be.

Kiranga alishatabiri Regia atashindwa uchaguzi na kupewa ubunge wa mezani, sasa atani prove wrong wapi?

If you want Kiranga to be mean, Kiranga anaweza kusema yeye ndiye aliyem prove Regia wrong, kwamba Regia hawezi kushinda uchaguzi.

Au mnataka Kiranga awatabirie career ya Regia bungeni itakuwaje pia ?

In the third person too, don't think I don't know it. Sheesh.

Don't make me rain brimstone, sulphur and fire on her parade already.

Huna lolote wewe zaidi ya kunikumbusha kile kitabu cha No longer at ease! wenzio siku hizi wanakwenda na plain English kaka hamna sifa kwenye hayo madude yako ala!.
 
If the truth ain't me, then the truth can't be.

Kiranga alishatabiri Regia atashindwa uchaguzi na kupewa ubunge wa mezani, sasa atani prove wrong wapi?

If you want Kiranga to be mean, Kiranga anaweza kusema yeye ndiye aliyem prove Regia wrong, kwamba Regia hawezi kushinda uchaguzi.

Au mnataka Kiranga awatabirie career ya Regia bungeni itakuwaje pia ?

In the third person too, don't think I don't know it. Sheesh.

Don't make me rain brimstone, sulphur and fire on her parade already.
Kashindwa kutokana na wizi wa kura sio kutokana na utabiri wako.
 
Hata hivyo, kama kuna evidence za kutosha kukata rufaa dhidi ya matokeo katika jimbo lake la Uchaguzi na akashinda, itakuwaje?

Kuna swali la kimsingi hapa..................na jibu lake ni kuwa............akishinda rufani yake basi yeye ataelekea kwenye chaguzi ndogo maana mahakama haina mamlaka ya kumtangaza mshndi ila kuyatengua matokeo endapo itaridhika taratibu zilikiukwa.................baada ya hapo ni kampeni na akishinda jimboni basi kiti maalumu Chadema itabidi iangalie kwenye ile orodha yake nani anafuata.................
 
Guys, hii sredi ni ya kupongeza

tusiichakachue wenyewe halafu badau tukalaumu kiranga au XXX nadhani we need to stick to the rule of the game

Hivi ni kwanini watanzania tunapenda kukata gogo pembeni ya choo

Congrats Regia, my frind and sis

najua umefika dodoma salama
 
Hongera Regia
Ukumbuke una jimbo kubwa zaidi ya lile la Kilombero na changamoto zake ni nyingi pia kama kweli unataka kuwa effective.
Nakutakia kila la kheri na ninaamini kwa dhati kabisa una kila nyenzo za kukusaidia kufikia azma yako ya kushiriki kwenye uongozi na kutoa maamuzi kama mwanamke, mtanzania na mwakilishi wa wananchi.

Hakika usisite kuwasiliana na wana JF pale uonapo kuna swala unataka kupata maoni au michango ili uwe na nondo nzito huko mjengoni.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom