Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

Jamaa anaenda kufeli..atakua ni mkuu wa mkoa wa kwanza kufeli hiyo ishu..mikoa mingine japo walichelewa but wamefanikiwa sana
 
30 November 2021
Dar es Salaam, Tanzania

HALI YA JIJI LA DAR ES SALAAM BAADA YA KAMPENI YA 'KUJIPANGA'

Huduma za zote kijamii ktk jiji kubwa la Dar es Salaam, kwa wakaazi na wageni zazidi kupanda hadhi baada ya jiji kupangwa



Source : Malango Travels
 
Back
Top Bottom