Elimu ya hapa na pale
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 846
- 825
Wapendwa hii ni kwa wale tu tunaopinga ufisadi.
Baada ya vyama mbalimbali kulifumbia macho swala la ufisadi na rushwa na wapiga madili. Naomba nimpongeze Rais wetu MAGUFULI kwa kujitoa muhanga na kupambana na tabia chafu zilizo kuwa zimeligarimu taifa letu kwa mda mrefu.
Nimeangalia kwa upande wa wa pili sehemu mbalimbali kwenye mikutano yao ya siasa, neno rushwa na ufisadi hawataji tena.
Kwa hali hii nakupongeza raisi wetu, wala usiwaze kulegeza kamba wala usiwachekee. Mungu wa mbinguni Atakubariki wewe na nchi yako. Amina