Hongera Rais Samia kwa kusikiliza maoni yetu wanaJF

Habari wakuu....

Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga..........

.Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe modernized...... katika solutions zote zilizokua suggested kaiona hio ya kujenga vizuri ndio liko sustainable(Becky hoyee👌☝️💪)....wanaJF hii ni prove tosha anatusoma humu hivyo tutoe threads za kujenga...ni msikivu ndio maana anachukua ushauri bwana yule hakua hivi.....

Cc; KeyserSoze
Unajuaje kama hilo wazo lilikuwepo kabla hamjaanza kujadiliana hapa?
 
Habari wakuu....

Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga..........

.Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe modernized...... katika solutions zote zilizokua suggested kaiona hio ya kujenga vizuri ndio liko sustainable(Becky hoyee👌☝️💪)....wanaJF hii ni prove tosha anatusoma humu hivyo tutoe threads za kujenga...ni msikivu ndio maana anachukua ushauri bwana yule hakua hivi.....

Cc; KeyserSoze
Uzi mzuri ila conclusion umezingua.
 
Wanaharibu historia lile jengo ni kumbukumbu unajua vuguvugu la uhuru lilianzia pale na viazi vya chips uzipendazo viliingia Tanganyika kupitia kariakoo kutoka Brazil ndio zikaingizwa na kujaribu kupanda baadhi ya mikoa tanganyika
 
Huo uzi uko wapi?
 
Habari wakuu.

Nimeona huko kwa Millard Ayo, hela zimetengwa kujenga upya Kariakoo ambayo ita accommodate wafanya biashara 2000! ...hii tulishauri hapa kulivyokua na discussion za kuhamisha wamachinga.

.Kariakoo ni mjini, kituo cha biashara mama Samia ametambua ni vizuri pajengwe vizuri, pawe modernized...... katika solutions zote zilizokua suggested kaiona hio ya kujenga vizuri ndio liko sustainable(Becky hoyee)....wanaJF hii ni prove tosha anatusoma humu hivyo tutoe threads za kujenga...ni msikivu ndio maana anachukua ushauri bwana yule hakua hivi.

Cc; KeyserSoze
Hongera kwa mawazo endelevu!
 
Nani kakuambia bwana yule hakuwa anasikiliza maoni ya humu Jamii Forums? Asilimia kubwa ya maamuzi ya serikalini kwa sasa yanasadifu maoni ya wadau humu Jamii Forums huenda wewe hutembelei forums nyingi humu but huyo bwana unayesema ww aliyafanyia kazi maoni mengi humu JF mpk tukawa tunahisi naye yupo humu.
Coincidence tu!
Mara nyingi mawazo huingiliana/ na kufanana.
Rejea kanuni ya newton raphson method katika numerical analysis, hao watu hawajawahi kuonana ila waligundua njia moja ya kihisabati inayofanana.
Binafsi niliwahi kuwa na wazo fulani, baadae nikaja ona watu wameishalitekekeza kama nilivyiwaza.
Ukiwa na wazo usilifiche maana kuna mwingine anawaza kama wewe.
 
Back
Top Bottom