Hongera Rais Samia kwa ajira 1097 TRA. Ila utumishi ni kikwazo ajira za vijana

Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi mama Samia suluhu hassani kwa kutangaza ajira za pamoja hapo TRA 1097 si haba sana kupunguza wimbi la tatizo la ukosefu wa ajira mtaani.

Naelewa kila sekta ndani ya serikali wameanza kumwaga ajira za kutosha kwa kweli naelewa utapunguza hili tatizo. Ila naomba nikupe pole maaana pale utumishi mfumo wao umekuwa kikwazo sana kwa vijana hawa wenye sifa ila mfumo wa utumishi unawakata wakiomba Kazi.

Yaaani tra wamesema kabisa wanaotakiwa ni watu wamesoma Economics ,Accounting ,banking & Finance ,Tax , dogo aliyeleta malalamiko yeye kasoma Economics & Statics lakini kila akiomba mfumo wao unagoma nina imani ni vijana wengi hili tatizo linawasumbua huko mtaani na hawajui wafanye nini.

Naomba jambo hili litatuliwe vijana wasije kukosa hizo fursa kwa mambo ambayo utumishi mnaweza kurekebisha kwenye system yenu
.
Ushauri kwa kitengo cha wa watu wa Tehama nazani muwe mnaangalia kwenye Qualification na toen access kwa course zote zinazo qualify kuomba hiyo ajira Ili kupunguza haya malalamiko View attachment 1984074View attachment 1984075View attachment 1984076
View attachment 1984197
 
Nchi hii inavituko sana. Vyuo vikuu havina walimu wanaenda kuajiri TRA
 
Hiyo mizigo mnayoiongeza huko serikalini tutaweza kuimudu? Maana ni mizigo tu kuwalipa mishahara, na hakuna added value watakayoleta huko. Dawa ya ajira ni kujikita kwenye uzalishaji mali na huduma tu, tena zenye uhitaji.
Unaona mbali sana.

Serikali haitaki kutengeneza mazingira ya watu kujiajiri, sasa inaficha udhaifu wake kwa kutangaza ajira ili kuonekana inatoa ajira.

Sio wajibu wa serikali kutoa ajira ama kuajiri. Haiwezekani kila mwaka watu wanasubiri ajira za serikali tu. Mwisho payroll ama wage bill itakua kubwa serikalini itashindwa kujiendesha.

Badala serikali i-utilize watumishi waliopo to the fullest, wao wanakalia kuajiri tu. Hii hua ni mbinu ya watu walioko serikalini kudanganya kua kuna upungufu ili wapate nafasi ya kuajiri ndugu zao ama watoto wao.

Tutajikuta sasa makusanyo yote yanatumika kwenye kulipana mishahara tu.

Ngoja tusubiri, sio muda hii sarakasi ita collapse.
 
Unakuta nafasi 10 zinatangazwa, wana-apply watu 10,000, na kumbe nafasi zote ndugu na watoto wao wameshaahidiwa, wengine mnaenda kuwa wasindikizaji, mwisho wa siku waanze kuongeza mzigo kwa serikali kulipa mishahara, ni shida sana
 
Aisee na mm mdogo wangu imemkuta kaka. Kasoma BA, post ya Customs officer inataka aliyesoma BA pia na kashafanya mara 2 mitihani hii, leo inamkatalia eti hana qualification aisee
 
Duuh ndani ya miez michache mama kashatangaza ajira zaid ya 5000, juzi kati tanesco wametangaza 500+, tamisemi 200+, takukuru the same case, mpaka mwaka unaisha atakuwa kapunguza gepu kubwa sana
Ajira za magereza,polisi,fire,uhamiaji na takukuru zote zinataka cheti cha JKT,tayari automatically watu kibao zishawakataa
 
Hiyo mizigo mnayoiongeza huko serikalini tutaweza kuimudu? Maana ni mizigo tu kuwalipa mishahara, na hakuna added value watakayoleta huko. Dawa ya ajira ni kujikita kwenye uzalishaji mali na huduma tu, tena zenye uhitaji.

Wewe utakuwa ni mchawi au ndo unaelekea huko,so mnapenda watu waishi kama mashetani sio??
 
Back
Top Bottom