kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,479
- 5,068
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi mama Samia suluhu hassani kwa kutangaza ajira za pamoja hapo TRA 1097 si haba sana kupunguza wimbi la tatizo la ukosefu wa ajira mtaani.
Naelewa kila sekta ndani ya serikali wameanza kumwaga ajira za kutosha kwa kweli naelewa utapunguza hili tatizo. Ila naomba nikupe pole maaana pale utumishi mfumo wao umekuwa kikwazo sana kwa vijana hawa wenye sifa ila mfumo wa utumishi unawakata wakiomba Kazi.
Yaaani tra wamesema kabisa wanaotakiwa ni watu wamesoma Economics ,Accounting ,banking & Finance ,Tax , dogo aliyeleta malalamiko yeye kasoma Economics & Statics lakini kila akiomba mfumo wao unagoma nina imani ni vijana wengi hili tatizo linawasumbua huko mtaani na hawajui wafanye nini.
Naomba jambo hili litatuliwe vijana wasije kukosa hizo fursa kwa mambo ambayo utumishi mnaweza kurekebisha kwenye system yenu
.
Ushauri kwa kitengo cha wa watu wa Tehama nazani muwe mnaangalia kwenye Qualification na toen access kwa course zote zinazo qualify kuomba hiyo ajira Ili kupunguza haya malalamiko View attachment 1984074View attachment 1984075
View attachment 1984197View attachment 1984198