Hongera Rais Samia kwa ajira 1097 TRA. Ila utumishi ni kikwazo ajira za vijana

kichakaa man

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
5,479
5,068
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi mama Samia suluhu hassani kwa kutangaza ajira za pamoja hapo TRA 1097 si haba sana kupunguza wimbi la tatizo la ukosefu wa ajira mtaani.

Naelewa kila sekta ndani ya serikali wameanza kumwaga ajira za kutosha kwa kweli naelewa utapunguza hili tatizo. Ila naomba nikupe pole maaana pale utumishi mfumo wao umekuwa kikwazo sana kwa vijana hawa wenye sifa ila mfumo wa utumishi unawakata wakiomba Kazi.

Yaaani tra wamesema kabisa wanaotakiwa ni watu wamesoma Economics ,Accounting ,banking & Finance ,Tax , dogo aliyeleta malalamiko yeye kasoma Economics & Statics lakini kila akiomba mfumo wao unagoma nina imani ni vijana wengi hili tatizo linawasumbua huko mtaani na hawajui wafanye nini.

Naomba jambo hili litatuliwe vijana wasije kukosa hizo fursa kwa mambo ambayo utumishi mnaweza kurekebisha kwenye system yenu
.
Ushauri kwa kitengo cha wa watu wa Tehama nazani muwe mnaangalia kwenye Qualification na toen access kwa course zote zinazo qualify kuomba hiyo ajira Ili kupunguza haya malalamiko View attachment 1984074View attachment 1984075
IMG-20211023-WA0005.jpg

View attachment 1984197View attachment 1984198
 
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi mama Samia suluhu hassani kwa kutangaza ajira za pamoja hapo TRA 1097 si haba sana kupunguza wimbi la tatizo la ukosefu wa ajira mtaani . Naelewa kila sekta ndani ya serikali wameanza kumwaga ajira za kutosha kwa kweli naelewa utapunguza hili tatizo. Ila naomba nikupe pole maaana pale utumishi mfumo wao umekuwa kikwazo sana kwa vijana hawa wenye sifa ila mfumo wa utumishi unawakata wakiomba Kazi. Yaaani tra wamesema kabisa wanaotakiwa ni watu wamesoma Economics ,Accounting ,banking & Finance ,Tax , dogo aliyeleta malalamiko yeye kasoma Economics & Statics lakini kila akiomba mfumo wao unagoma Nina imani ni vijana wengi hili tatizo linawasumbua huko mtaani na hawajui wafanye nini. Naomba jambo hili litatuliwe vijana wasije kukosa hizo fursa kwa mambo ambayo utumishi mnaweza kurekebisha kwenye system yenu
.
Ushauri kwa kitengo cha wa watu wa Tehama nazani muwe mnaangalia kwenye Qualification na toen access kwa course zote zinazo qualify kuomba hiyo ajira Ili kupunguza haya malalamiko View attachment 1984074View attachment 1984075View attachment 1984076
Ajira wajinga sana
 
Duuh ndani ya miez michache mama kashatangaza ajira zaid ya 5000, juzi kati tanesco wametangaza 500+, tamisemi 200+, takukuru the same case, mpaka mwaka unaisha atakuwa kapunguza gepu kubwa sana
Mama yupo good hasa kwenye ajira vijana watafaidika sana, hongera sana kwake
 
Hiyo mizigo mnayoiongeza huko serikalini tutaweza kuimudu? Maana ni mizigo tu kuwalipa mishahara, na hakuna added value watakayoleta huko. Dawa ya ajira ni kujikita kwenye uzalishaji mali na huduma tu, tena zenye uhitaji.
 
Mama kama ataona hapa atukumbuke na Sisi Walimu, tunapita kipindi kigumu mnoo!
 
Duuh ndani ya miez michache mama kashatangaza ajira zaid ya 5000, juzi kati tanesco wametangaza 500+, tamisemi 200+, takukuru the same case, mpaka mwaka unaisha atakuwa kapunguza gepu kubwa sana
alipoingia tu za waalimu 6000 afya 3200

wajati huo

miradi inaendelea

watumishi wanapandishwa madaraja

mei mosi ijayo alihaidi ongezeko la mishahara

Tulichelewa sana

Samia ni mtu Bwaba,
 
alipoingia tu za waalimu 6000 afya 3200

wajati huo

miradi inaendelea

watumishi wanapandishwa madaraja

mei mosi ijayo alihaidi ongezeko la mishahara

Tulichelewa sana

Samia ni mtu Bwaba,
Sawa, na bado mikopo ya chanjo tunaendelea kulipa kama kawaida
 
Back
Top Bottom