Hongera Rais Samia kwa ajira 1097 TRA. Ila utumishi ni kikwazo ajira za vijana

Godwin peter

Senior Member
May 12, 2019
143
250
Hiyo mizigo mnayoiongeza huko serikalini tutaweza kuimudu? Maana ni mizigo tu kuwalipa mishahara, na hakuna added value watakayoleta huko. Dawa ya ajira ni kujikita kwenye uzalishaji mali na huduma tu, tena zenye uhitaji.

Wewe utakuwa ni mchawi au ndo unaelekea huko,so mnapenda watu waishi kama mashetani sio??
 

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
25,855
2,000
Wewe utakuwa ni mchawi au ndo unaelekea huko,so mnapenda watu waishi kama mashetani sio??
Kwani kipi hujaelewa kwenye hiyo comment yangu? Kama suala ni watu wasiishi kama mashetani, kwanini serikali isiwe inawaingizia tu watu wote mishahara , ili kila
MTz apate mshahara ili lengo la kuishi kama malaika litimie, unaonaje hapo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom