Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
Ni wazi kuwa sasa Misri imeanza kurudi kwenye kawaida yake baada ya Rais Al sis kuyaua Magaidi.
Kuna makundi ya kigaidi yalianza kuivuruga Misri, yakija kwa jina la Muslim brotherhood. Kundi hili lilitaka kuondoa amani ya Misri kama ilivyo kawaida ya Magaidi yanayolaghai watu kwa njia ya dini ili kutekeleza umwagaji wa damu kama imani yao inavyowatuma.
Lakini Rais Al sisi amekuwa imara, alihakikisha kila gaidi akibainika ni kupiga risasi. Al sis anastahili tuzo