Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,356
- 21,390
Tulikuchagua kuwa rais tukijua bayana kwamba muda wa maneno sasa umekwisha.
Wahenga walionya kuwa maneno matupu hayavunji mfupa.
Kitendo cha kuanza ujenzi wa barabara za juu pale ubungo ni ishara kwamba mawakala wa shetani wanahujumu juhudi za serikali ya awamu ya Tano wameshindwa na kulegea !!
Serikali ya awamu ya Tano Endeleeni kusonga mbele, mamilioni ya watanzania ukiacha wale wauza madawa ya kulevya wa ufipa wanawaunga mkono.
Hizo Barabara mtajengea mawe au??Mnadanganya watanzania kwa vikesi uchwara ili muonekane wamo,subirini Wema awatimulie vumbi mumlipe pesa za kumwaga ndipo mtajua nini maana ya kutii sheria.
Halafu Mbaona mmeingia mitini kuhakiki vyeti mlivyonunua??Hivi mnajua kosa la kuforgr vyeti ni la jinai??
GSM leo wametoa ngapi??Maana mnajidai wasafi kumbe mnasafirisha unga kwa kutumia GSM,safari hii lazima mzae na Wema tu