Hongera Rais Magufuli na Waziri Ummy Mwalimu kwa kuhudumia vizuri wazee wetu

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
1,061
1,327
Ni kwa mara ya kwanza tunashuhudia kama taifa wazee wetu wanathaminiwa na kukumbukwa kwa namna ya pekee na serikalii iliyoko madarakani.

Wazee sasa wana uhakika wa kuishi maisha marefu chini ya serikali ya Magufuli. Ni vyema ikatungwa SHERIA ya Wazee ili kuwe na legal protection kwa haki za wazee.

Pia hospital za serikali na za binafsi zote ziwatibu wazee bure hasa kwa matibabu ya kawaida. Kila Halmashauri itoe bima maalum kwa matibabu ya pekee kwa wazee(specilized medical treatment insuarance).

Utaratibu wa kadi za matibabu ya kawaida kwa wazee utekelezwe nchi nzima. Wakurugenzi watakaoleta jeuri katika hili watumbuliwe.

HONGERA RAISI WETU JPM. HONGERA DADA YETU UMMY MWALIMU. HONGERA KAKA YETU KINGWANGALA. VERY GOOD JOB.
 
Back
Top Bottom