Nesto E Monduli
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 247
- 155
-Katika Katiba Wananchi ya Jaji Warioba ilipendekezwa kuwa vyeo vya Ukuu wa Wilaya na Ukuu wa Mikoa viondolewe kwani ni Vyeo Mizigo.
::Jana Mheshimiwa Kippi Warioba mtoto wa Jaji Warioba ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi.
-Namnukuu Mheshimiwa Humphrey Polepole katika Chambuzi zake za Katiba Pendekezwa..."Wamerudisha wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wananchi mlisema sana juu ya uwepo wa wakuu wa mikoa na wilaya.. Kwamba hivi ni vyeo mzigo na vya misingi ya kubebana,kwa namna walivyo rudi sitashangaa wakiendelea kuwa makada wa vyama vya siasa. Sifa kuu yao itakuwa ni kuwa kada tu wa chama asiye na sifa za ziada.Haya maoni ya kuwaweka wakuu wa mikoa katika namna hii wameyatoa wapi.? Maoni hayo mimi sikuyaona Tume ya Katiba kipindi chote nilichokuwepo" .
::Jana Humphrey Polepole kahamishwa na kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya Mpya ya Ubungo.
HONGERENI KWA TEUZI WAKUU, HONGERA JPM KWA KUTUPA HILI SOMO LA LEO KUWA "Mbwa ukimjua jina Hakupi Tabu" !...
Anyway,Niko Maeneo ya Bandari yetu Kuu East Africa huku naangalia Mandhari nzuri ya Bandari yetu,Nimeona Daraja la Kigamboni, Nimeshuhudia Makontena Mengi sana, Nikabaki najiuliza:
Yuko Wapi Mheshimiwa Kassim Majaliwa ,mbona umekuwa kimya sana Mkuu?.Tumezoea zile hekaheka zako za "Utumbuaji" wa papo kwa papo kama enzi za yule Mama aliyedai katumiwa Sms na "Mh Sospeter Mhongo" kuwasha flow meter ,enzi zile za "Waficha Sukari" na mikasa ya bei elekezi ya Tshs 1800/=.. Uko wap?, Kulikoni?
----------------------------
Nesto E Monduli
TICTS,Kurasini.