Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
Ni kuhusu nidhamu ya watumishi wa umma.Hakika leo ni tofauti sana na jana.Mtumishi wa umma wengi wao walikuwa ni km miungu watu ktk nafasi mbalimbali walizokuwa wanawahudumia wananchi.
Walikuwa ni watu wa malingo,wajivuni,hawakukubaliana na ushauli wowote,walinyanyasa wananchi na mambo mengi fanani na hayo.
Leo hii umewasimamia ww mwenyewe na wamesimamika kweli!Hatuyaoni tena malingo yao,majivuno yao,manyanyaso yao na mengine mengi yaliyopata kuwa kero.
Ndiyo maana kwa moyo mkunjufu NAKUPONGEZA sana mh Rais.Lazima tuwe watu wa kutimiza wajibu.Wajitumi ktk kazi.Tujawe na upendo na amani ktk sehemu zetu za kazi.
Lkn ninalo ombi mheshimiwa,KANYONGEZA BASI KTK YALE MAMBO YETU,HAHAHAHA!