UKiangalia hapo juu utaona jana mida kama hii nilimwambia mleta mada kwamba hatuna umeme; na hapa ninapoandika kwa mara nyingine hatuna umeme tangia saa 11!Wewe umeleta mambo ya mgao wa umeme watu wanakwambia kwao kuna umeme unaleta mambo ya kunyongana!!
Wewe Masenu K Msuya, unazungumzia vipi suala la siku tatu mfululizo kutokuwa na umeme mida zile zile?! Acheni kutetea ujinga nyie watu ambao posts zenu huwa mnaweka namba za simu! Kama mnatete ujinga kwa kutegemea uteuzi ndio maana huwa mnaweka hadi namba za simu, then you guys are among the worst creatures in this nation!