Hongera Rais Magufuli kwa kulitatua tatizo sugu la mgao wa umeme nchini

GRID ina excess ya zaidi ya 300MW hivo hakuna mgao tena tunawakaribisha investors waje wajenge Plants mana Umeme ni uhakika kwa sasa uki pata outage jua tu kuna regularly maintenance zinakuwa zinafanyika kukeep systems healthy zaidi na wala hizo outages hazi last longer na areas zinazo experience zinakuwa informed earlier too, Tukimaliza Bwawa la nyerere kuna the likely tukauza umeme East africa yote mana ndio tutakùwa Power house ya EA
We keep moving
 
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza.

Ulipoingia madarakani ulisema hili tatizo litakuwa kweli mwisho. Na kwa hakika sasa tumesahau. Maana kama umeme ukikatika ujue kuna hitilafu na matengenezo. Lakini sio mgao wa umeme eti kwa sababu umeme hautoshelezi.

Swali ambalo mimi nimejiuliza kichwani kwangu je kwa nini kipindi hicho kulikuwa na mgao wa umeme wa karibu siku tatu au wiki kwa baadhi ya mikoa ? Je ilikuwa ni dili za wauza jenereta? Na wewe ulipoingia ukazibana na sasa umeme unapatikana masaa 24!

Je zilikuwa deal za wajanja wachache kama akina Harbinder Seth na wenzake ili waweze kupata tenda za kuizuia umeme Tanesco na kisha kulipwa malipo ya capacity charges yanayoiumiza Tanesco. Ila wewe ulipoingia ukavunja na mkataba wa Tegeta Escrow.

Au ndio zilikuwa hujuma za watumishi wa Tanesco kwenye hydropower stations ambao walishirikiana na mafisadi ili kufungulia maji yapungue kwenye mabwawa ili umeme usizalishwe kama inavyohitajika. Ila wewe ulilishutukia hili na kuwatimua. Sasa mgao wa umeme sio hadithi tena.

Je, kama hali iko hivi Je JNHPP ikikamilika mambo yatakuwaje?

Jambo linalosikitisha pamoja na mambo mazuri unayoyafanya wafuasi wa Chadema na wanachama wao hawana uzalendo na kukushukuru kwa namna ulivyojitoa ili Tanzania iliyokuwa imepinda inyooke.

Ila nakupa pongezi kwa hili na kwa mantiki hii kura za urais Mungu akipenda utapata 99.5%.
Wew ni chizi au wazazi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama wewe unaona hakufanya juhudi kudhibiti mgao wa umeme kalisha makalio kimya. Official data hizo ni official data au upuuzi. Kwani sisi hatuoni kuwa hakuna mgao sasa hivi.
achana na Chige akili yake ni ya wale wanaopinga kila kitu akishirikiana na mamluki wa Ubelgiji
Honera kwa Magufuli kutupunguzia makali ya umeme sijui leo tungekuwa wapi
sasa CORONA inawapelekesha wengi lkn ulitabiri Mataifa na Mabenki yasamehe madeni na Corona inawezekana tukaishi navyo
 
Mgombea u-Rais alipokuwa anaomba kura mwak 2015 alitoa AHADI kuwa nitafanya haya na haya. Wapiga kura wakalinganisha kati ya yeye na mpinzani then wakampa yeye kura akashinda. Sasa anatekeleza yale aliyo YAAHIDI ambayo ni wajibu wake, SWALI, kwa nini nyie mnataka TUMSIFIE 24/7? isitoshe kila mradi anaoutekeleza anatumia kodi zetu sisi wenyewe, kwa nini mnakomaa mishipa KUMSIFIA?

Wanaotaka KUSIFIWA wana dalili zote za UDIKTETA na hivyo ndivyo alivyokuwa Adolf Hitler na Benito Mussolini
Je asingelifanya? Tusingelimlaumu ama tungelimlaumu mkuu

Wajibu wa mama Kwa mwanae, ni kumlea na hicho ndicho kiapo cha mzazi Kwa mwanae

Lakini wengine, huwatupa watoto Wao mashimoni na kuwatekereza!

Unataka kuniambia Kati ya watoto hao, ni Yupi atasema asante Kwa mzazi wake Kwa kumlea, na Yupi hatasema asante, ingawa jukumu la kulea na wajibu huo ni wa wazazi

Acha roho mbaya mkuu, panapostahili asante isemwe tena Kwa nguvu na bila haya, paspostahili Napo tutasema Kwa sauti yote
 
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza.

Ulipoingia madarakani ulisema hili tatizo litakuwa kweli mwisho. Na kwa hakika sasa tumesahau. Maana kama umeme ukikatika ujue kuna hitilafu na matengenezo. Lakini sio mgao wa umeme eti kwa sababu umeme hautoshelezi.

Swali ambalo mimi nimejiuliza kichwani kwangu je kwa nini kipindi hicho kulikuwa na mgao wa umeme wa karibu siku tatu au wiki kwa baadhi ya mikoa ? Je ilikuwa ni dili za wauza jenereta? Na wewe ulipoingia ukazibana na sasa umeme unapatikana masaa 24!

Je zilikuwa deal za wajanja wachache kama akina Harbinder Seth na wenzake ili waweze kupata tenda za kuizuia umeme Tanesco na kisha kulipwa malipo ya capacity charges yanayoiumiza Tanesco. Ila wewe ulipoingia ukavunja na mkataba wa Tegeta Escrow.

Au ndio zilikuwa hujuma za watumishi wa Tanesco kwenye hydropower stations ambao walishirikiana na mafisadi ili kufungulia maji yapungue kwenye mabwawa ili umeme usizalishwe kama inavyohitajika. Ila wewe ulilishutukia hili na kuwatimua. Sasa mgao wa umeme sio hadithi tena.

Je, kama hali iko hivi Je JNHPP ikikamilika mambo yatakuwaje?

Jambo linalosikitisha pamoja na mambo mazuri unayoyafanya wafuasi wa Chadema na wanachama wao hawana uzalendo na kukushukuru kwa namna ulivyojitoa ili Tanzania iliyokuwa imepinda inyooke.

Ila nakupa pongezi kwa hili na kwa mantiki hii kura za urais Mungu akipenda utapata 99.5%.
Kwa hili la umeme mh.raisi kajitahidi Sana Mungu amtie nguvu zaidi na zaidi.
 
Sitaki wapewe bure ndio maana nimesema wanaupata baada ya kuulipia. Sasa kama huduma unapata kwa kuilipia unamsifu nini msimamizi wa hiyo huduma?
Je kipindi kile wakati wanalipia alafu haupatikani? Majenereta yalikuwa yanaunguruma Tanzanian nzima.
 
UMEME HAUKATIKI KABISA

Kwani wewe upo Nchi gani, ulishawahi kuona magenerator yakinguruma Maduka yote mwezi mzima na Kidatu, mtera maji yamejaa? Ungeweza kushinda JF km leo simu full charge na computer hazizimwi tunashusha mavitu usiku kucha?
Hapo huna Shukrani kabisa kwa Magufuli, ulizia Nchi jirani zinavyolia na mgawo
Mm sitamsahau huyu jamaa nalipia kwa mwezi sh 9,500. @ mwezi na ninawasha kila kitu 24hr/7/30/mwaka nipo mwaka wa 4 sijazima
You must be kidding unless una chumba kimoja ua huna vitu vya umeme, kwangu hiyo ni bill ya siku 5 mpaka 6

Stay home, stay safe
Corona kills
 
You must be kidding unless una chumba kimoja ua huna vitu vya umeme, kwangu hiyo ni bill ya siku 5 mpaka
Ni ujinga wako tu huo Mkuu, km hujui malipo ya kila mwezi yameondolewa kacheza na Tarrif la utaumia sana, Nenda Tanesco wakakurekebishie Tarrif upate Unit chini ya 100 km huna mashine ya kusaga
mm nina nyumba nzima na taa za sequrity,
umeme Tanzania nzima upo na ndio maana JF 24hrs tunakutana
 
Kuanzia mwaka 2006 mpaka rais magufuli anaingia madarakani nchi yetu ilikuwa mara kwa mara ikikumbwa na tatizo kubwa la mgao wa umeme. Tatizo ambalo kwa muda mrefu lilikuwa mwiba kwa taifa letu. Vinyozi,wenye saluni za kike, wenye mabaa mpaka wenye viwanda lilikuwa ni tatizo linalowaumiza.

Ulipoingia madarakani ulisema hili tatizo litakuwa kweli mwisho. Na kwa hakika sasa tumesahau. Maana kama umeme ukikatika ujue kuna hitilafu na matengenezo. Lakini sio mgao wa umeme eti kwa sababu umeme hautoshelezi.

Swali ambalo mimi nimejiuliza kichwani kwangu je kwa nini kipindi hicho kulikuwa na mgao wa umeme wa karibu siku tatu au wiki kwa baadhi ya mikoa ? Je ilikuwa ni dili za wauza jenereta? Na wewe ulipoingia ukazibana na sasa umeme unapatikana masaa 24!

Je zilikuwa deal za wajanja wachache kama akina Harbinder Seth na wenzake ili waweze kupata tenda za kuizuia umeme Tanesco na kisha kulipwa malipo ya capacity charges yanayoiumiza Tanesco. Ila wewe ulipoingia ukavunja na mkataba wa Tegeta Escrow.

Au ndio zilikuwa hujuma za watumishi wa Tanesco kwenye hydropower stations ambao walishirikiana na mafisadi ili kufungulia maji yapungue kwenye mabwawa ili umeme usizalishwe kama inavyohitajika. Ila wewe ulilishutukia hili na kuwatimua. Sasa mgao wa umeme sio hadithi tena.

Je, kama hali iko hivi Je JNHPP ikikamilika mambo yatakuwaje?

Jambo linalosikitisha pamoja na mambo mazuri unayoyafanya wafuasi wa Chadema na wanachama wao hawana uzalendo na kukushukuru kwa namna ulivyojitoa ili Tanzania iliyokuwa imepinda inyooke.

Ila nakupa pongezi kwa hili na kwa mantiki hii kura za urais Mungu akipenda utapata 99.5%.
kwa hili nakubaliana na wewe kabisa, hata ufipa wakikataa ila ukweli utapabi pale pale Mataga.
covid ipo chato
 
na HAITAONGOZWA hata siku moja na CHADEMA wa TLP labda vije vyama vingine visivyo na ukabila au uMwinyi
Umeme sasa ni free kwa bei ya chini tofauti na majirani zetu
Mie situmii umeme wa bure, sijui mwenzangu unapata wapi umeme wa free, itabidi Tanesco wakufuatilie, nyie ndio wezi wa umeme mnaolitia hasara shirika letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom