Hongera Rais Magufuli kwa kujenga kwenu, umewazidi marais wote wastaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Yesu alipofunga Siku 40 akawa hali walisema "anapepo huyu huwezi kuishi muda wote bila kula" alipofungua akaanza kupiga msosi wakasema"ni mrafi"

Nyerere .zito shutuma kuwa usosholoji ulinjaa hata haukukumbuka kujenga kwako kipindi cha maziko yake tulikuta hata barabara ya kwenda mwitongo ni ya vumbi tu na nyumba ya kawada tena aliengewa kwa msaada na

MWINYI. huyu walimuita mswahili eti aliridhika mapema hata hakujikusanyia chochote na kwao alipasahau

MKAPA.Huyu kwao masasi wanasema hakuwa wao eti alitelekeza kwao na kujenga kwingine mpaka sasa anaishi Tanga kwao hayupo ,huyu wanasema sioo kabisa kukimbia kwao.

KIKWETE. Ukifika chalinze ,mboga,rugoba ,msata,bagamoyo uaimtaje jk wanasema hata maji alishindwa kuwapa licha ya kuwa waziri miaka kibao na rais ,anaishi dar kule anaenda kusalimia

My take .mkuu JPM jenga kwenu weka kila kitu hata wakisema waseme ,nyumbani ni nyumbani
Ukistafu stafu kwa amani utukie kwenu.
 
Angalia vizuri maandiko yako, yana kasoro nyingi; yarekebishe. Pamoja na ugeni wako lakini jaribu kuonyesha weledi japo kidogo.
 
Yesu alipofunga Siku 40 akawa hali walisema "anapepo huyu huwezi kuishi muda wote bila kula" alipofungua akaanza kupiga msosi wakasema"ni mrafi"

Nyerere .zito shutuma kuwa usosholoji ulinjaa hata haukukumbuka kujenga kwako kipindi cha maziko yake tulikuta hata barabara ya kwenda mwitongo ni ya vumbi tu na nyumba ya kawada tena aliengewa kwa msaada na

MWINYI. huyu walimuita mswahili eti aliridhika mapema hata hakujikusanyia chochote na kwao alipasahau

MKAPA.Huyu kwao masasi wanasema hakuwa wao eti alitelekeza kwao na kujenga kwingine mpaka sasa anaishi Tanga kwao hayupo ,huyu wanasema sioo kabisa kukimbia kwao.

KIKWETE. Ukifika chalinze ,mboga,rugoba ,msata,bagamoyo uaimtaje jk wanasema hata maji alishindwa kuwapa licha ya kuwa waziri miaka kibao na rais ,anaishi dar kule anaenda kusalimia

My take .mkuu JPM jenga kwenu weka kila kitu hata wakisema waseme ,nyumbani ni nyumbani
Ukistafu stafu kwa amani utukie kwenu.
takataka.... jifunze kuandika vizuri.
 
Haya

Wanaokuja baada yake watafanyia nyumbani zaidi yake pengine watahamishia hadi makao makuu ya nchi kwao

Badala ya kusema mikoa ilioachwa nyuma kimaendeleo kama Rukwa,Katavi na Morogoro ipewe kipaumbele mnasifia kiongozi kuelekeza resources za nchi yote kiupendeleo alikozaliwa
 
Back
Top Bottom