Hongera Rais Magufuli kwa hili la wafungwa na mahabusu

Alex Fredrick

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
680
1,338
Tumeshuhudia kwa muda wa miongo mingi jinsi watu wanavyosingiziwa kesi ama kwa kukataa kutoa rushwa au kwa kesi ambazo hazieleweki

Rais Magufuli ameigiza Wizara ya Sheria na Katiba pamoja na Ofisi ya DPP kutembelea Magereza yote Nchi nzima kuchunguza kesi zote ili zile ambazo hazina mashiko walengwa waachiriwe huru

Mifano ipi mingi sana kwa jinsi watu wanavyokaa mahabusu miaka mingi pasipo kupelekwa Mahakamani achilia mbali kesi za kubambikiwa

Kwahili tunakupongeza sana Mh Rais Magufuli na tunaamini haki itachukuwa mkondo wake

#JPM KIOO TUELEKEACHO
Alex Fredrick
 
Kama kauli hii ingetoka Kipindi Lema yuko jela nadhani jina lake lingerukwa!!!
 
Acha sifa za kijinga mwenyewe kakiri wale askari 8 hata ukiwaangalia kwa macho utagundua wamepokea rushwa.
Jiulize kwanini kawaachia kuna mchezo nyuma ya pazia were ujielewi au huelewi nyie ndio mnasifia kila ujinga
 
Polisi wameachiwa sababu uisaidia ccm ushindi. Wa vyeti nao wamejutia makosa yao awasamehe
 
Tumeshuhudia kwa muda wa miongo mingi jinsi watu wanavyosingiziwa kesi ama kwa kukataa kutoa rushwa au kwa kesi ambazo hazieleweki

Rais Magufuli ameigiza Wizara ya Sheria na Katiba pamoja na Ofisi ya DPP kutembelea Magereza yote Nchi nzima kuchunguza kesi zote ili zile ambazo hazina mashiko walengwa waachiriwe huru

Mifano ipi mingi sana kwa jinsi watu wanavyokaa mahabusu miaka mingi pasipo kupelekwa Mahakamani achilia mbali kesi za kubambikiwa

Kwahili tunakupongeza sana Mh Rais Magufuli na tunaamini haki itachukuwa mkondo wake

#JPM KIOO TUELEKEACHO
Alex Fredrick
kwakweli
 
Ni jambo la kupongezwa kweli, katika lawama kubwa kabisa za kubambikia watu kesi jeshi la polisi linahusika moja kwa moja hasa hasa waendesha mashtaka na wapelelezi
 
Ni mahahusu wote au wa Butimba pekee?! Huko dar wengi mahabusu wamefungwa tayari maana wamekaa mahabusu muda mrefu sana, uamsho, Rugemalila, Seth, Deo Mwanyika, Kitilya na wenzake au wao hawahusiki.
 
Hahaha kachoka kuweka watu mahabusu?! Mahakama imehamia ikulu?! Walisema hawaingiliwi sasa imekuwaje tena?! Rais hutoa musamaha kwa wafungwa kwa mujibu washeria, sasa kuamuru mahabusu waachiwe ni sheria gani?! Je, hapo mahakama haiingiliwi?!
 
Back
Top Bottom