Hongera Rais Magufuli: 50m kwa kila kijiji zimeanza kutoka

bhikola

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,130
1,660
Habari zenu waungwana,
Kama heading inavyojieleza, kijiji cha Changarawe, wilaya ya Mvomero, mkoani Moro tumeshapata zetu, na utaratibu wa kuzigawana unaendelea.
Hapa kazi tu
 
Hata mkipewa 100M kila kijiji bila sera imara za kiuchumi zitayeyuka mikononi mwenu kabla ya mwaka huu kuisha.
 
Habari zenu waungwana,
Kama heading inavyojieleza, kijiji cha Changarawe, wilaya ya Mvomero, mkoani Moro tumeshapata zetu, na utaratibu wa kuzigawanaunaendelea.
Hapa kazi tu

Unakimbilia wapi?

Leta maelezo yanayojitosheleza isije ikawa ni pesa za TASAF maana wengi elimu ni tatizo.
 
Habari zenu waungwana,
Kama heading inavyojieleza, kijiji cha Changarawe, wilaya ya Mvomero, mkoani Moro tumeshapata zetu, na utaratibu wa kuzigawana unaendelea.
Hapa kazi tu
Hahahahahaaaa tofautisha hela za TASAF na zile za ahadi za CCM za 50M kila Kijiji. Mnaendelea kuchangisha wananchi hela za madawati elf tano tano, huku mnadai mmetoa milion 50 kila kijiji hahahaa si mngetumia hizo kununu madawati na muache kuchangisha michango kero kwa wananchi! hahaha
 
Unadhani humu wote watoto na Mvomero hatupafahamu.."tumepata zetu tumeanza kuzigawana" upo Mvomero kijiji gani?
 
Back
Top Bottom