Hongera Prof Muhongo/Maswi kwa uzalendo, ingekuwa Ngeleja/Jairo ingekuwaje?

Mashauri,
You are absolutely right! Watanzania ni Mazuzu haya sio maneno yangu aliyasema Marehemu Baba wa Taifa.

Hata hizo shilling laki moja na sabini elfu bado ni nyingi sana . Bei ya kuunganisha umeme inapaswa kuwa bure na hili linawezekana!

Yes let us make a simple calculation kuonyesha wizi wa Tanesco kwa wateja.
Gharama ya vifaa vya kuunganisha umeme :
1.Meter ya single phase Usd 50 sawa na Tshs 80,000 ( Hii ni Mali ya Tanesco)
2. Waya za umeme 25 sq.mm mita 60 Kila mita moja Tshs 1500 = Tshs 90,000 ( Mali ya Tanesco)
3. Vikombe 4 @ 1500 = Tshs 6000 (Mali ya Tanesco )
4. Waya wa Umeme 16mm sq mita 10 @ Tshs 4,000 = Tshs 40, 000 ( Mali ya tanesco)
5. Bolts and nuts pamoja na kazi ya kuijenga service line Tshs 50,000 ( include transport) : (Labda anaweza kuchangia Mteja ))

Mantiki ya kutokulipa ni kwamba those are the investment costs which Taneso has to incurr so that they can sell power to a customer period!
Kwa kifupi hata Kama wangekuwa hawana pesa za kuwekeza kwenye biashara Yao then Mteja angepaswa kuchangia zisizozidi Tshs 140, 000 ambazo it has to be recovered from power sales .

Ni lazima tuwapongeze Prof. Mhongo na Katibu Mkuu kwa kuanzia we should expect more from them wapatiwe muda and space!

Madudu yote haya ni kutokana na kuwaweka madarakani watu ambao uwezo wao kufikiria ni mdogo.
A good MD should sit down prepare a business plan and show how he can operate the company to generate income and make sure there is a return on Investment (ROI) make profit for the share holders and not otherwise . Hawa wapuuzi wanaotaka kuendelea kupata Ruzuku kutoka Serikalini then they can go to hell?

Of course pamoja na nia nzuri ya Prof na Katibu Mkuu they have inherited a dead body( Tanesco) with huge debts a product of grand and corporate corruption.
Bila kufuta mikataba mibovu ya Songas, IPTL , Symbion , na Aggreko pamoja na deni la Tshs 300 billion aliloacha Dr. Idris Rashid hata ashuke malaika Gabriel you can turn out Taneso.

Prof na Katibu Mkuu wataendelea kutumia pesa za walipa kodi kulipa Ufisadi uliooteshwa Tanesco over the past 20 years. Kuna haja ya kuanza alifu kwa kijiti na wahusika wote dead or alive tuwaanike hadharani of Jakaya Mrisho Kikwete in person has nowhere to hide ??.!

Uzembe haukuanzia miaka 20, ujinga wa wizi ulianza waakati wa Nyerere. Kwanini hamtaki kusema kweli? wakati wake ndio kila kitu kilianza kuharibika. Kikwete anatengeneza leo hapewi sifa. miaka 44 ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa watanzania waliokuw wanapata umeme chini ya asilimia 10
 
Na Kikwete aliyewateua, huna habari nae?

nadhani uteuzi huu haukutoka from Kikwete's himself, ila kama umetoka kwake naamini hata yeye haamini kilichotokea kuwa hawa jamaa wamekuja tofauti kabisa na wateule wangine, japo najua na wao watakutana na kigingi hasa akiri za ukweli zikimrudia Kikwete
 
Uzembe haukuanzia miaka 20, ujinga wa wizi ulianza waakati wa Nyerere. Kwanini hamtaki kusema kweli? wakati wake ndio kila kitu kilianza kuharibika. Kikwete anatengeneza leo hapewi sifa. miaka 44 ya Nyerere, Mwinyi, Mkapa watanzania waliokuw wanapata umeme chini ya asilimia 10

hapo kwenye red: Nyerere anahusikaje funguka vzr, maana najua the said "mgao unaotegenezwa" ulianza during the 90s when IPTL came, sasa huyu mzee inakuwaje.
 
Tunamshurukuru Kikwete kwa kuwateu pia. Binafsi niseme kuwa hivi sasa Kikwete ana washauri wazuri wa karibu akiwemo katibu mkuu kiongozi ambaye ni mzalendo na mchapakazi pia. Pia Kikwete kuwa mbali kwake na akina RA na EL kumesaidia kwa kiasi kikubwa ndo leo tuna watu kama hawa bila kuwasahau Magufuli kurudishwa wizara ya ujenzi na Mwakyembe kupewa wizara kamili. Nirudie kusema kuwa kwa kiasi kikubwa jamaa wa Mara ni waadilifu.

Jamaa wa mara unasema ni waadilifu,
Hata Jaji Werema nae ni muadilifu?
 
hapo kwenye red: Nyerere anahusikaje funguka vzr, maana najua the said "mgao unaotegenezwa" ulianza during the 90s when IPTL came, sasa huyu mzee inakuwaje.

Wakati wa Nyerere asilimia ngapi ya Watanzania walikuwa na umeme?

Kwanini aliukataa mpango wa Steigler Gorge uliokuwa ufanyike kwa nafuu sana wakati wake?
 
nadhani uteuzi huu haukutoka from Kikwete's himself, ila kama umetoka kwake naamini hata yeye haamini kilichotokea kuwa hawa jamaa wamekuja tofauti kabisa na wateule wangine, japo najua na wao watakutana na kigingi hasa akiri za ukweli zikimrudia Kikwete

Huo uteuzi ulitoka kwa Slaa or is it Josephine?
 
Jamaa wa mara unasema ni waadilifu,
Hata Jaji Werema nae ni muadilifu?

Werema ana matatizo binafsi hasa kwa kujipendekeza kwa wakubwa wake na kuafuata tu kila wanachomwambia lakini sina taarifa zake zozote za ufisadi kama Chenge, kama unazo tuambie.
 
Huo uteuzi ulitoka kwa Slaa or is it Josephine?

Aliyemshauri kuwateua akina Msabaha, Karamagi, Maige, Ngeleja, Masha, Maghembe, Wasira, Sofia Simba, Chami, Chenge,Mramba, Kawaba, Lucy Nkya, Kombani, n.k ndiye aliyemshauri kuwateua na hawa ...
 
Back
Top Bottom