Hongera polisi Kawe kwa kazi nzuri. Je, mliowabeba wananunua dukani mo/unga kwanini wameteseka kutoka? Tunarudia ya Rukwa??

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Naomba nianze kwa kuwapongeza polisi wa Kawe kwa kazi nzuri ya jana mtaani kwetu

Naomba nimpongeze mkuu wa kituo naamini amesaidia hata kufanyika zoezi hili

Mtaani kwetu kuna vijana wanajaa nyumba ya jirani kila asubuhi anawauzia bangi na valium wanaita kwa kobina

Vijana wanapolewa usiku wanaanza kupora kila wanaemwona.

.Sio mara ya kwanza

Baada ya kukupongeza mh nikujulishe tu huyu mzee na mkewe wameshafika hapo mara nne na wakitoka wanasema kabisa wanawaachia polisi 80" 000...

Jambo hili limefikia kuwatisha wananchi basi kumbe hilinzoezi sio jema kama mtu anauza na bangi na mbaya anauza na valium mmezikuta wenyewe jana akikamatwa anatoka......

Aipendezi afikishwe mahakaman hataamaramoja tu...

Tuachane na hayo kuna vijana ambao walikuwa wananunua mo energy/unga kwa dada mmoja dukan ambako inasemekana mlikuta baadhi wakilamba. Monde aka bia aka wanatoa lock saa tano asbh...

Safi kabisa nimependa hii naamini hata wauzaji awataryudia

Sshida wale vijana waliokamatwa wengine wametumwa na nduguzao...,kununua vitu na wawili hata kilevi awakijui

Hata tulipowajulisha. Hao sio wavutabangi wala walevi mlisema tutajua kituoni

Niombe radhi mh mkuu wa kawe

Ndugu zao wameteseka kuwatoa wakililiwa mpaka wawe na mhamala.Unaosomeka

Imeniwia uchungu kukaa na hili nikiamini kama tukikaa kimya ipo siku watatuchukua sisi ama wake zetu wanaoenda madukani kununua vitu

Nashauri baada ya kukamata inapotokea ndugu wa wahusika wanakuja na mnaona kweli mliokamata hawa n safi awakuwa na bia hapo dukan awakuwa wanavuta kilevi naomba askari wako wawachie bila masharti yoyote ili tutimize ulr usemi tunakamata tunachuja wahalifu waendelee kubaki wasafi warudi mtaani..

Wale wanaotumia zoezi kama hili vinginevyo mtuondolee.Kabisa hapo.Kawe yetu

Mwisho tunaomba huyu mzee anaeuzia wahuni hawa bangi na wengine wanatoka kawe wanavutia nyumban kwake kawe mnajua huu n mwaka wa nne anatoka anarudi mnakamata anatoka anarudia apewe funzo kulinda amani ya mtaa

Tumechoka kupigwa ngeta saa moja usiku jamani wenginr tushazeeka kuanza kuonekana.Na.Maalama.Hata unashiñdwa.Kudanganya.Hii n lvebyt ama.Lah

Mungu awatangulie tuwaondoe wahuni wote....Mtaan kwetu

Mmbarikiwe
 
Mtaa went ni upi. Mi ninapenda polisi wawe wanakamata watu wanaoshinda mitaani bila kazi haswa kwenye fremu za saloon za kiume na kike. Chini ya miti na pia baharini
 
Alafu wakisha kamatwa kwa kosa la kutokua na kazi ndiyo hao police wataenda kuwapa kazi!?
 
Wapelekwe Stigler Gorge wakapasue miamba na kujenga bwawa law kipato. Wengine hawajui hata kama.hizo kazi zipo. Wamelegea kuanzia nywele kichwani mpaka kucha za vidole miguuni.
Ni kupiga maneno mengi tu. Hao ndio mtaji wa wanasiasa wababaishaji
 
Hiyo operation usijidanganye kuwa inafanywa kwa maslahi ya wananchi huo ni ulaji wa polisi tu.SIJAWAHI KUWAAAMINI POLISI WA TANZANIA AND I WILL NEVER
Naomba nianze kwa kuwapongeza polisi wa Kawe kwa kazi nzuri ya jana mtaani kwetu

Naomba nimpongeze mkuu wa kituo naamini amesaidia hata kufanyika zoezi hili

Mtaani kwetu kuna vijana wanajaa nyumba ya jirani kila asubuhi anawauzia bangi na valium wanaita kwa kobina

Vijana wanapolewa usiku wanaanza kupora kila wanaemwona.

.Sio mara ya kwanza

Baada ya kukupongeza mh nikujulishe tu huyu mzee na mkewe wameshafika hapo mara nne na wakitoka wanasema kabisa wanawaachia polisi 80" 000...

Jambo hili limefikia kuwatisha wananchi basi kumbe hilinzoezi sio jema kama mtu anauza na bangi na mbaya anauza na valium mmezikuta wenyewe jana akikamatwa anatoka......

Aipendezi afikishwe mahakaman hataamaramoja tu...

Tuachane na hayo kuna vijana ambao walikuwa wananunua mo energy/unga kwa dada mmoja dukan ambako inasemekana mlikuta baadhi wakilamba. Monde aka bia aka wanatoa lock saa tano asbh...

Safi kabisa nimependa hii naamini hata wauzaji awataryudia

Sshida wale vijana waliokamatwa wengine wametumwa na nduguzao...,kununua vitu na wawili hata kilevi awakijui

Hata tulipowajulisha. Hao sio wavutabangi wala walevi mlisema tutajua kituoni

Niombe radhi mh mkuu wa kawe

Ndugu zao wameteseka kuwatoa wakililiwa mpaka wawe na mhamala.Unaosomeka

Imeniwia uchungu kukaa na hili nikiamini kama tukikaa kimya ipo siku watatuchukua sisi ama wake zetu wanaoenda madukani kununua vitu

Nashauri baada ya kukamata inapotokea ndugu wa wahusika wanakuja na mnaona kweli mliokamata hawa n safi awakuwa na bia hapo dukan awakuwa wanavuta kilevi naomba askari wako wawachie bila masharti yoyote ili tutimize ulr usemi tunakamata tunachuja wahalifu waendelee kubaki wasafi warudi mtaani..

Wale wanaotumia zoezi kama hili vinginevyo mtuondolee.Kabisa hapo.Kawe yetu

Mwisho tunaomba huyu mzee anaeuzia wahuni hawa bangi na wengine wanatoka kawe wanavutia nyumban kwake kawe mnajua huu n mwaka wa nne anatoka anarudi mnakamata anatoka anarudia apewe funzo kulinda amani ya mtaa

Tumechoka kupigwa ngeta saa moja usiku jamani wenginr tushazeeka kuanza kuonekana.Na.Maalama.Hata unashiñdwa.Kudanganya.Hii n lvebyt ama.Lah

Mungu awatangulie tuwaondoe wahuni wote....Mtaan kwetu

Mmbarikiwe
 
Wapelekwe Stigler Gorge wakapasue miamba na kujenga bwawa law kipato. Wengine hawajui hata kama.hizo kazi zipo. Wamelegea kuanzia nywele kichwani mpaka kucha za vidole miguuni.
Ni kupiga maneno mengi tu. Hao ndio mtaji wa wanasiasa wababaishaji
Dah siku tukifikia hatua hiyo ya Police kukamata watu wasiyo na kazi na kuwapeleka kwenye kazi wakapige kazi naona hata US watatuogopa maana ajira ndiyo tatizo kubwa hapa Duniani!!
 
Hiyo operation usijidanganye kuwa inafanywa kwa maslahi ya wananchi huo ni ulaji wa polisi tu.SIJAWAHI KUWAAAMINI POLISI WA TANZANIA AND I WILL NEVER
Kwa comment hii sina shaka na uraia wako maana mtanzania wa kweli lazima ajuwe tabia halisi za Jeshi lake la Police na hapa nauunga mkono hoja yako uko vizuri!!
 
Mkuu unasema unazeeka huku haujui kua polisi wetu hizo ni operation zao za kutafuta pesa? Unadhani kwanini hata hao wasafi hawaachiwi?

Kuna mtaa nilikua nakaa yule jamaa amepanga chumba kabisa kwa ajili ya kuhifadhi bangi lakini maaskari walikua wakimkamata ndani ya saa mbili kashatoka. Wanywa komoni wanakamatwa lakini ikifika mida mida wanaachiwa maana hawa hata pesa hawana.

Kuna siku nilikamatwa na wanywa pombe, wavuta bangi na kibaka mmoja. Yule kibaka pale kituoni kuna picha yake ipo ukutani kumaanisha ni wanted, mimi kosa ilikua ni nimefungua fremu ya gemu saa saba mchana, notice nimesema kufungua siyo kuchezesha, mimi wakanila 15K, yule kibaka akaliwa 50K, walevi wako hoi hawana hela wanalia njaa zinauma wakatoka kama walivyokuja.
 
Wananchi waache umbea akiuza bangi si yeye umbea wa kumchoma kwa police sasa na vijana wenu wamepitiwa
 
Mkuu unasema unazeeka huku haujui kua polisi wetu hizo ni operation zao za kutafuta pesa? Unadhani kwanini hata hao wasafi hawaachiwi?

Kuna mtaa nilikua nakaa yule jamaa amepanga chumba kabisa kwa ajili ya kuhifadhi bangi lakini maaskari walikua wakimkamata ndani ya saa mbili kashatoka. Wanywa komoni wanakamatwa lakini ikifika mida mida wanaachiwa maana hawa hata pesa hawana.

Kuna siku nilikamatwa na wanywa pombe, wavuta bangi na kibaka mmoja. Yule kibaka pale kituoni kuna picha yake ipo ukutani kumaanisha ni wanted, mimi kosa ilikua ni nimefungua fremu ya gemu saa saba mchana, notice nimesema kufungua siyo kuchezesha, mimi wakanila 15K, yule kibaka akaliwa 50K, walevi wako hoi hawana hela wanalia njaa zinauma wakatoka kama walivyokuja.
Aisee BASI n project endelevu
Napitaatu
 
Dah siku tukifikia hatua hiyo ya Police kukamata watu wasiyo na kazi na kuwapeleka kwenye kazi wakapige kazi naona hata US watatuogopa maana ajira ndiyo tatizo kubwa hapa Duniani!!
Ajira tunazotaka hazipo. Ila kazi za kufanya hazikosekani. Ni kuamua wisely tu.
Ukienda ofisi za watu, zimejaa. Ila huku kwingine kuna space haina mwenyewe
 
Back
Top Bottom