Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Maharo

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
3,184
2,048
Napenda kuchukua nafasi hii kumpongeza kwa dhati Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Paul Makonda kwa zawadi ya mtoto wa kiume.

Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema akukuzie na akuongoze umpe malezi bora ya kumpendeza yeye.

Hongera sana P Makonda.

====

DiTWavmW4AAWNLh.jpg

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amebahatika kupata mtoto wa kwanza na kupitia instagramu yake ameonyesha furaha yake aliyopewa na mungu kwa kupata mtoto wa kiume. Kupitia ukurasa wake wa Istagram Rc Makonda amethibitisha hilo.
 
Ahakikishe anasoma kwa bidii, bahati ya ujanja ujanja aliyoipata asidhani na huyo atairithi naye.
wivu ni kitu kibaya sana na cha kuepukwa.

povu la nini sasa kama unashindwa kupongeza pita kimya kimya.
 
Back
Top Bottom