Hongera Paul Makonda: barabara ya Lumumba imeanza kufanyiwa gardening

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,898
43,807
Nimepita hapo na kukuta utengenezaji wa garden katikati ya barabara ukiendelea kwa kasi na mandhari imeanza kuwa ya kuvutia. Na sijui kwanini miaka yote ilishindikana, pesa za parking zilikuwa zinaenda wapi?
 
CCM bwana Hivi shida za watanzania Kwa miaka 50 ya CCM in Barabara kufanyiwa gardening? Aka kweli ndio maana watu wanataka serikali iwe Na dira Na vipau mbele kuna kiongozi hapa dar atawambia watanzania kuwa sasa bure kupata Dada poa
 
Nimepita hapo na kukuta utengenezaji wa garden katikati ya barabara ukiendelea kwa kasi na mandhari imeanza kuwa ya kuvutia. Na sijui kwanini miaka yote ilishindikana, pesa za parking zilikuwa zinaenda wapi?

Mamchwa n mende ya ccm yalikuwa yanawaza wizi tu, tusubiri JPM atwae mikoba ya chama hakuna rangi wataacha
kuona! Jana kawapiga sindano ya mboni ya jicho; leo umeya bwaa!
 
Naamini jiji litakuwa safi, leo tumeletewa notice ya kupanda kwa huduma ya uzoaji taka kutoka x/= mpaka kufikia 4x/=, yaani ni ongezeko la 400%
 
Back
Top Bottom