Hongera pastor mrindoko kwa kufikisha miaka 10 ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera pastor mrindoko kwa kufikisha miaka 10 ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 10, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  Wapendwa leo nimejumuika kula chakula cha pamoja na ndugu yetu baba yetu
  past mrondoko...si haba kumpongeza kwa kufikisha miaka kumi ya ndoa...
  past alianza safari ya wito akiwa na mwaka mmoja wa ndoa...mama akampokea akampenda akiwa hana ajira,..wakaishi kadri yesu alivyotaka kuishi..kama usemi wangu wa kila siku
  ukitaka kuwa wa thaman lazima uptishwe sehemu fulan ili uonekane wa thamani..kipindi hicho wanasali kwenye myumba ya matope wakiwa na waumini 3 leo hii yuko kwenye nyumba ya thamani...ya matofali na waumini si chini ya 50...wapendwa mlioitwa na bwana msikate tamaa kwa YESU akuna kubahatisha narudia hili kuna wachungaji wengi wa makanisa mbali mbali walipopea sehemu za kuabudia waliishia kutembelea na kutangaza kama wito ni huu nahisi bwana akuniita kuteeka...unaitaji upite sehemu fulan uweze kuhifadhiwa...

  yawezekana na wewe ni mtumishi una waumini 3 mlilie mungu ndie mweza yote
  Uabarikiwe baba MUNGU akakuhifadhi na damu ya yesu sawa na walawi 17 : 11
  ufunuo 12:11 ikawe juu yako
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,249
  Likes Received: 5,627
  Trophy Points: 280
  jua wito ulioitiwa MUNGU hatokuacha
   
Loading...