Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,704
- 4,737
Mzaliwa wa Zanzibar yapata miaka 73 iliyopita, nguli wa fasihi na mwandishi wa novels classic zaidi ya 10...(siongelei uandishi wa The President loves my wife wa Shigongo na kuombana degree UDSM)
Tafuta novel yake ya Paradise ya 1994 ndio utanielewa. AbdulRazak Gurnah very humble pamoja na kukulia ughaibuni sana ila amededicate ushindi huo kwa african continen na African readers....
Dedication to the Truth! Wacha tusubiri firimbi za wasiasa kama kawaida kusema wanamjua sana na pongezi wakati hata hawajawahi kusoma kazi zake.
Anyway katuheshimisha...NB ni mpigania demokrasia na anti colonialism.
Tanzania daima nchi yangu nzuri.