..ndugu zangu wakati wa sakata la ripoti ya Dr.Mwakyembe likiendelea Raisi Kikwete alifanya uteuzi wa Jaji Kiongozi na Majaji wa Mahakama ya Rufaa.
..Jaji Kiongozi Amiri Manento amestaafa na nafasi yake ameteuliwa Jaji Salum Massati.
..Pia Raisi aliteua Majaji watatu kuingia mahakama ya Rufaa. Kati ya majaji hao yupo Jaji Mohamed Chande Othman. Jaji Othman amewahi kuwa principal procecutor ktk mahakama ya kimataifa ya Rwanda, na baadaye Procecutor General wa serikali ya East Timor. Hivi karibuni alikuwepo kwenye tume ya UN iliyokuwa ikifanya uchunguzi huko Lebanon.
..ndugu zetu mswahili, nungwi, na samvulachole, wamekuwa watetezi wakubwa wa rekodi ya utendaji kazi ya Jaji Mohamed Othman Chande. Natoa pongezi kwa Jaji Chande Othman na wachangiaji hawa kwa uteuzi huu.