Acha chuki wewe,au kua ni mchaga?itafika wakati na hao watu wako watapata.
Hahaa...ni wewe tuu ndio unazidi komaa na kila sababu ya kijinga....kwani yeye tuu ndiye aliyebebwa?Hujauliza waarabu waliokuwa wakitumia mke wa mwinyi kufanya kufuru hadi kwa maafisa wa serikali,mengi hakuwahi fanya huo ushenzi, hujajiuliza wengine wenye imani ya mwinyi waliopendelewa na kujipatia hela kwa njia haramu za madawa km enzi hii ya JK sasa wapo wapi...zaidi zaidi vijana wa kiislama wakaishia kupata hasara kwa kuw amateja, mashoga,hadi leo Tanzani effect haijaisha na JK ndio anawarudisha tena kulekule kulipoiua Tanga.
Kama kubebwa kunalipa basi waangalie waislama wa nchi hii,sasa na mbaya ziadi waangalie utawala ukibadilika na kuja kiongozi serious km Mkapa.
Wewe unamuongelea Mengi, sasa Profesa Muhongo anaingiaje hapo.
mengi mwizi tu anakwepa sana kodi na ananyonya wafanyakaz wake
Wafanyakazi wa ngazi za juu kwa Bakresa ni wakutoka Zanzibari, mbaguzi sana huyu mtu, ili kupata cheo kwa bakresa mpaka uwe mwislamu, ni tofauti na kwa Mengi.. Njoo huku Ipp uone watu walivyo mchanganyiko. Toka pande zote za nchi wanafanya kazi kwa mengi. Mwaka 1999 nilikuwa kwa bakresa mpaka 2010 kibarua tu.. Wakati nina elimu kuliko walio ofisini,mwenye form four ananiongoza mimi mwenye diploma ya uhandisi mitambo? Kisa yeye ni kutoka pemba? nashukuru sana Mungu baada ya uvumilivu nilifanikiwa kuomba kazi ipp idara ya mitambo nikapata. Kwa bakresa nilikuwa nalipwa 280,000 lakini sasa napata laki 750,000 ipp. ubaguzi kwa bakresa niliuvumilia mpaka nikasema basi...
Anakwenda kutana naye akiwa km mtetezi wa maslahi yaliyokandamizwa ya wazawa.Mzawa mwenye kutaka ashirikia.Muhongo ni mkandamizaji wa haki za wazawa.Ambaye anafuatia ktk mission ya Mengi.
Kwanza mengi anakwenda akiwa na nguvu mpya,kwani sifa mbaya sijui ana tamaa,sijui ana nini zimesafishwa leo kwa zile zifa alizokuwa akipewa...
Ulikuwa hujui?
Watanzania biashara wanazoweza ni za matunda na juyce tu.

angalia kwa makini utauona uhusiano uliopo.Hakuna uhusiano hapo.
Anakwenda kutana naye akiwa km mtetezi wa maslahi yaliyokandamizwa ya wazawa.Mzawa mwenye kutaka ashirikia.Muhongo ni mkandamizaji wa haki za wazawa.Ambaye anafuatia ktk mission ya Mengi.
Kwanza mengi anakwenda akiwa na nguvu mpya,kwani sifa mbaya sijui ana tamaa,sijui ana nini zimesafishwa leo kwa zile zifa alizokuwa akipewa...
Ulikuwa hujui?
Nlitaka uniambie kama aliwahi kubebwa au hajawahi kubebwa.
hiyo umeleta wewe uniulize mimi...Mungu alimbeba akabebeka na kupata utajiri alio nao.Kwani Mwinyi alikuwa na vigezo gani vya kumchagua kafir na mchaga Mengi na si mwingine.
hiyo umeleta wewe uniulize mimi...Mungu alimbeba akabebeka na kupata utajiri alio nao.Kwani Mwinyi alikuwa na vigezo gani vya kumchagua kafir na mchaga Mengi na si mwingine.
Yaani haya maneno yenu yenye sura ya udini... ndio yananipotezea kabisaa imani na CHADENA
Habari zingine zinachekesha sana. Kupata tuzo hilo ni jambo la kawaida leo kapata yeye kesho mwingine atapata. Hata hivyo una mtazamo wa ajabu sana; Mengi anaenda kwenye mkutano ulioandaliwa na UDASA ambao Prof. Muhongo nae atakuwepo sasa unasema Mengi anaenda kukutana na Prof maana yake nini? Huo mdahalo/mkutano unawakutanisha watu mbalimbali na siyo kama unavyotaka kunarrow down wawe watu wawili. Tayari umekwishambandika Prof kuwa ni Mkandamizaji sijui katika context gani!!! Pia nashangaa unafikiri tuzo aliyopewa Bw. Mengi ndiyo inaweza kumsafisha kama ni mchafu? Hii ndiyo JF