• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Hongera mzee Mengi,Unazidi komba medali wakati unakwenda kumface Muhongo Nkurumah

Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
Hongera sana MZee Mengi:

NImeipenda hotuba ya mwakilishi wa watoa nishani..Alisema yote ambayo magamba wasingependa kusikia kwako.Walisema yote magamba waliyoyageuza na kukupaka vibaya.Yule jamaa kayasema jisni yalivyostahili.

Haya yote yana kuoa baraka kubwa sana kwenda muona muhongo..ambaya hakuwahi tengeneza hela kwa akili yake.Na sasa hana hizo values ambazo wamekiri wengi wakati unapokea nishani yako mzee.

Mungu akusaidie.
 
U

Usokitabu

Senior Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
107
Points
195
U

Usokitabu

Senior Member
Joined Apr 23, 2012
107 195
Wewe unamuongelea Mengi, sasa Profesa Muhongo anaingiaje hapo.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
Wewe unamuongelea Mengi, sasa Profesa Muhongo anaingiaje hapo.
Anakwenda kutana naye akiwa km mtetezi wa maslahi yaliyokandamizwa ya wazawa.Mzawa mwenye kutaka ashirikia.Muhongo ni mkandamizaji wa haki za wazawa.Ambaye anafuatia ktk mission ya Mengi.

Kwanza mengi anakwenda akiwa na nguvu mpya,kwani sifa mbaya sijui ana tamaa,sijui ana nini zimesafishwa leo kwa zile zifa alizokuwa akipewa...

Ulikuwa hujui?
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
Kungekuwa ata kuna asilimi 5 yetu(Watanzania) kama mzee Mengi tungekuwa mbali sana kimaendeleo.
bahati mbaya ma CCM wanashawishi watu kuwa anachofanya Mengi ni kujitangaza,inakosea hadi kunukuu Biblia wakati wao na wafuata Biblia ni kinyume.
 
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
1,049
Points
1,250
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
1,049 1,250
Hongera sana MZee Mengi:

NImeipenda hotuba ya mwakilishi wa watoa nishani..Alisema yote ambayo magamba wasingependa kusikia kwako.Walisema yote magamba waliyoyageuza na kukupaka vibaya.Yule jamaa kayasema jisni yalivyostahili.

Haya yote yana kuoa baraka kubwa sana kwenda muona muhongo..ambaya hakuwahi tengeneza hela kwa akili yake.Na sasa hana hizo values ambazo wamekiri wengi wakati unapokea nishani yako mzee.

Mungu akusaidie.
mengi fisadi papa
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
mengi fisadi papa
well, umesikia waliomuona na KUMPA HESHIMA..nadhani pia ulisikia hotuba yake.Well , atakuwa fisadi wa tofauti sana..wale mafisadi wa CCM wampeleka hel anje na wanawapa watz vizawadi kidogo km tambiko.
 
jMali

jMali

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Messages
8,347
Points
2,000
jMali

jMali

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2010
8,347 2,000
Hizi tuzo tuzo, mengi huwa ana-arrange mwenyewe! na hao wote unaowaona wameshachukua chao.
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,737
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,737 0
Anakwenda kutana naye akiwa km mtetezi wa maslahi yaliyokandamizwa ya wazawa.Mzawa mwenye kutaka ashirikia.Muhongo ni mkandamizaji wa haki za wazawa.Ambaye anafuatia ktk mission ya Mengi.

Kwanza mengi anakwenda akiwa na nguvu mpya,kwani sifa mbaya sijui ana tamaa,sijui ana nini zimesafishwa leo kwa zile zifa alizokuwa akipewa...

Ulikuwa hujui?
mengi mwizi tu anakwepa sana kodi na ananyonya wafanyakaz wake
 
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
2,012
Points
1,195
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
2,012 1,195
Hongera sana MZee Mengi:

NImeipenda hotuba ya mwakilishi wa watoa nishani..Alisema yote ambayo magamba wasingependa kusikia kwako.Walisema yote magamba waliyoyageuza na kukupaka vibaya.Yule jamaa kayasema jisni yalivyostahili.

Haya yote yana kuoa baraka kubwa sana kwenda muona muhongo..ambaya hakuwahi tengeneza hela kwa akili yake.Na sasa hana hizo values ambazo wamekiri wengi wakati unapokea nishani yako mzee.

Mungu akusaidie.
CHAGA BWOY... unapigana vita ambavyo umeshashindwa.
fisadi nyangumi huyo hasafishiki. haijalishi kapewa tuzo na mjinga gani, kwani hata G.LEMA mnaweza mkaandaa tuzo na kumpa depending on hidden agenda you are carrying behind it...
tumeshawakataa na hamtengamani nasi kamwe.
vipi ule mkakati wa jamhuri ya watu wa kaskazini???
 
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Messages
5,600
Points
1,195
B

Bangoo

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2011
5,600 1,195
mengi mwizi tu anakwepa sana kodi na ananyonya wafanyakaz wake
Labda hufahamu mkuu, kwa taarifa yako na wenzako, Ipp inawalipa wafanyakazi wa kima cha chini tsh 400,000/= sasa hata serikali hawajafikia laki 4! Bora kukaa kimya kama hujui kitu mkuu.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
CHAGA BWOY... unapigana vita ambavyo umeshashindwa.
fisadi nyangumi huyo hasafishiki. haijalishi kapewa tuzo na mjinga gani, kwani hata G.LEMA mnaweza mkaandaa tuzo na kumpa depending on hidden agenda you are carrying behind it...
tumeshawakataa na hamtengamani nasi kamwe.
vipi ule mkakati wa jamhuri ya watu wa kaskazini???
Haha.....mtasema sana....ila ndipo mnapigwa bao....magamba wote ni too local akupewa tuzo nje ya Nchi.Mengi ni rais kivuli hadi sasa...mabalozi wote wanareport kwake ,na Tuzo za Nje anapewa sana.Ungesikiliza ile hotuba ya jamaa aliyewakilisha watoa Tuzo,na Mwenyeketi wa wawekezaji bongo.Utaona ni kwanini Mengo yupo level ingine.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
Labda hufahamu mkuu, kwa taarifa yako na wenzako, Ipp inawalipa wafanyakazi wa kima cha chini tsh 400,000/= sasa hata serikali hawajafikia laki 4! Bora kukaa kimya kama hujui kitu mkuu.
Siku Mengi ana anamwamuru afisa ajira atoe hicho kiasi nilisikia ktk Media.Maccm huwa wanapotezea habari nzuri km hizi ndio maana ipo nyuma ya time sana.Yaani afisa wa kwa bakhresa anaweza asifikie mfagiaji wa IPP.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
mengi mwizi tu anakwepa sana kodi na ananyonya wafanyakaz wake
Kwanini Usiwaambie TRA wafanye kazi yao?Majungu tuu,mkikosa ushahidi mnasingizia ameficha..kwa vile nia yenu ni ovu akilizenu haziwezi kubali ukweli.
 
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
2,012
Points
1,195
N

notradamme

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
2,012 1,195
Haha.....mtasema sana....ila ndipo mnapigwa bao....magamba wote ni too local akupewa tuzo nje ya Nchi.Mengi ni rais kivuli hadi sasa...mabalozi wote wanareport kwake ,na Tuzo za Nje anapewa sana.Ungesikiliza ile hotuba ya jamaa aliyewakilisha watoa Tuzo,na Mwenyeketi wa wawekezaji bongo.Utaona ni kwanini Mengo yupo level ingine.
THANKS kwa kunukuu baadhi ya maneno toka kwenye 'waraka mtakatifu wa mabadiliko'''' NIMEONA UMETUMIA NENO ''TOO LOCAL'' kama jinsi alivyoitwa mungu wako DJ KENGEZA kwenye waraka.
teheteheteheheeeeeee kwekwekwehhhhhhhh..... eti mabalozi wanaripoti kwa mengi!!!!
may be we don't share the same level of knowledge and thinking. we endelea kuota ndoto mimi najali muda wangu. sorry
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
THANKS kwa kunukuu baadhi ya maneno toka kwenye 'waraka mtakatifu wa mabadiliko'''' NIMEONA UMETUMIA NENO ''TOO LOCAL'' kama jinsi alivyoitwa mungu wako DJ KENGEZA kwenye waraka. teheteheteheheeeeeee kwekwekwehhhhhhhh..... eti mabalozi wanaripoti kwa mengi!!!! may be we don't share the same level of knowledge and thinking. we endelea kuota ndoto mimi najali muda wangu. sorry
Well...ukitaka jipige kichwa chini...unakuweje km mpuuzi wa kutupa.HUjajifunza huko pwani kuwa hasira za mkizi tija kwa mvuvi?Unamiwta mbowe Kengeza, Zitto umeahi angalia vyema sura yake...?jiulize angekuwa anachimba chumvi uvinza au kuvua dagaa lake Tanganyika angeweje. UNajichekesha huna Hoja..narudia tena Kila balozi anareport kwa Mengi...lia pasuka huo ndio ukweli ...mwehu wewe.
 
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Messages
2,744
Points
2,000
M

Morinyo

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2011
2,744 2,000
Haha.....mtasema sana....ila ndipo mnapigwa bao....magamba wote ni too local akupewa tuzo nje ya Nchi.Mengi ni rais kivuli hadi sasa...mabalozi wote wanareport kwake ,na Tuzo za Nje anapewa sana.Ungesikiliza ile hotuba ya jamaa aliyewakilisha watoa Tuzo,na Mwenyeketi wa wawekezaji bongo.Utaona ni kwanini Mengo yupo level ingine.
Zile sifa zilizokua zinahusishwa na kabila fulani naona zimehamia kwenu. Mengi alifanya makosa makbwa sana wakati alipobebwa na Mwinyi kama mzawa, ndo maana awau zilizofuata hazitaki kufanya makosa kama aliyoyafanya Mwinyi.
 
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Messages
25,289
Points
2,000
Nicholas

Nicholas

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2006
25,289 2,000
Zile sifa zilizokua zinahusishwa na kabila fulani naona zimehamia kwenu. Mengi alifanya makosa makbwa sana wakati alipobebwa na Mwinyi kama mzawa, ndo maana awau zilizofuata hazitaki kufanya makosa kama aliyoyafanya Mwinyi.
Hahaa...ni wewe tuu ndio unazidi komaa na kila sababu ya kijinga....kwani yeye tuu ndiye aliyebebwa?Hujauliza waarabu waliokuwa wakitumia mke wa mwinyi kufanya kufuru hadi kwa maafisa wa serikali,mengi hakuwahi fanya huo ushenzi, hujajiuliza wengine wenye imani ya mwinyi waliopendelewa na kujipatia hela kwa njia haramu za madawa km enzi hii ya JK sasa wapo wapi...zaidi zaidi vijana wa kiislama wakaishia kupata hasara kwa kuw amateja, mashoga,hadi leo Tanzani effect haijaisha na JK ndio anawarudisha tena kulekule kulipoiua Tanga.

Kama kubebwa kunalipa basi waangalie waislama wa nchi hii,sasa na mbaya ziadi waangalie utawala ukibadilika na kuja kiongozi serious km Mkapa.
 
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
11,880
Points
1,250
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
11,880 1,250
Upendeleo?

Reginald Mengi ametunukiwa tuzo ya mafanikio ya kusaidia jamii katika eneo la ukanda wa Mashariki. Pamoja na stahili ya tuzo hiyo, mchakacho wa mwenye stahili ya tuzo hiyo si wazi na kwa upande wa Tanzania tuzo kwa wafanyabiashara mara zote humwendea zaidi Mengi wakati kuna wafanyabiashara kadhaa wanafanya mazuri kadhaa zaidi ya Mengi.

Wafanyabiashara wenye uwezo hapa 'Tanzania wapo wengi, kati yao anayeonekana kujitokeza kwenye vyombo vya habari ni Reginald Mengi kwa vile ana vyombo vya habari anavyomiliki na hivyo kumtangaza na pengine kumpa upendeleo katika mambo kadhaa, wanasiasa na viongozi wa serikali kumpa upendeleo pia labda kumvutia ili vyombo vyake vya habari viipendelee serikali.

Bakheresa kwangu naona angestahili sana sifa hiyo kwa hoja kwamba amekuwa tajiri number one kuwapa ajira vijana kwa idadi kubwa tu na anafahamika kwa sasa ana wafanyakazi wasiopungua 10,000, pia kutoa mwanya kwa vijana kadhaa kujiajiri kutokana na products za viwanda vyake.

Si vema kupendelea mfanyabiashara mmoja mara zote wakati wapo wenye kumzidi kwa baadhi ya sifa za kuisaidia jamii, labda wanasiasa hutumika kufanya upendeleo huo na pengine serikali inahusika kwa vile serikali hubebwa na wanasiasa
.
 
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
11,880
Points
1,250
Candid Scope

Candid Scope

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
11,880 1,250
Nimeshuhudia pia katika nafasi kadhaa anayependelewa katika safari zinazoratibiwa na serikali kimataifa kwa wafanyabiashara ni Mengi pekee anayepewa upendeleo wakati kuna wengi ambao pengine huchagia zaidi pato la taifa kwa kodi tokana na biashara zao, si vema mmoja tu wakati wote wakati wapo wengi, na kwa vyo vyote mazingira ya sasa si ya uwazi mmoja kuendelea kuwa juu ya wengine wakati takwimu hazionyeshi hivyo.
 
Forum statistics

Threads 1,403,308
Members 531,177
Posts 34,420,006
Top