Hongera mwenzetu SAIDI YAKUBU

HONGERA
Said kwa nondo na mama mutasir usisahau kuwashituwa wale vijawako wa kule themesview barking wapunguze mjengo warudi class
hongeratena mzee wa stay
 
kwenda shule ni tofauti na kugraduate

Degree hana, kama ambavyo Freeman na JJ Mnyika walivyokuwa hawana japo wenyewe wanadai wamepiga shule

Halafu it wouldnt hurt kumpongeza mwenzetu SY
Wewe una degree ya nini? Hongera saidi
 
Mwee!!

Sikuwa najua shule inatisha namna hii.
&8%$#@*&^%$#@% Grrr Grr Grrr Grr!
Watu maneno yanawatoka kama vile PhD ya SY imevaa ngozi ya Nungunungu?
Inabidi niuhagi kwa sana Huu mkaratasi wangu wa mchundo,kwani ndo shule ya juu kabisa nilowahi kukanyagia.
 
Una uhakika Mwanakijiji hajapiga shule?

Duh, ama kweli baadhi yetu hatujui kusoma watu. Simjui Mwanakijiji, lakini mchango wake hapa na nyanja zingine kama Cheche, unathibitha usomi uliobobea, usomi wa hali ya juu; usomi usiolingana kamwe na usomi mashaka wa akina "Dk". Emmanuel Nchimbi, "Dk". Mary Nagu, "Dk." Kamala, "Dk." Mutamwega n.k. Nchimbi alipata "Phd" yake huku hajamaliza Ordinary Diploma ya Mzumbe!
 
Don 4get maji marefu wa korogwe!!!!!!!!
 
Duh, ama kweli baadhi yetu hatujui kusoma watu. Simjui Mwanakijiji, lakini mchango wake hapa na nyanja zingine kama Cheche, unathibitha usomi uliobobea, usomi wa hali ya juu; usomi usiolingana kamwe na usomi mashaka wa akina "Dk". Emmanuel Nchimbi, "Dk". Mary Nagu, "Dk." Kamala, "Dk." Mutamwega n.k. Nchimbi alipata "Phd" yake huku hajamaliza Ordinary Diploma ya Mzumbe!

Dk Mzindakaya! Dk Diallo!................
 
Heri yako wewe wa form 4 wengine tumeishia std 7 ya motomoto pale Karume Primary.

Hongera SY

Yes Indeed...!

lucky you,me dont even know how the four corners of a classroom look like.
s

awa mimi niliipitia pitia shule ya msingi ya Mzimni na nilipofeli ndio nikasukumwa pale kinondoni ambako kusema ukweli nilifeli form 2 lakini nikafoji cheti cha Form 4 ainbu kumwambia mtu kuwa eti ulifeli form 2

haya mnayoyaona hapa ni matunda ya Mwalimu NDOSHO na mwenzie yule mlevi hata jina lishantoka

angalau wenzetu mmeenda hata shule, wengine tuliishia vidudu baada ya kunyimwa bulga! Hongera SY na shemeji

usha PACHIA wewe ulikuwa unataka kusema BUGA lakini ukaishia kusema bulga...heheheee hoiiii....bora wewe mwenzetu ulikuwa hukuenda vidudu wenzio hata hiyo vidudu hawaijui maanake

hivi vidudud ndio nini eeeh?

degree ndio nini?

si kile cheti wanachopewa halafu wanavalishwa yale ma joho kama FREEMASONS au wajifanya hujui?

Duh, ama kweli baadhi yetu hatujui kusoma watu. Simjui Mwanakijiji, lakini mchango wake hapa na nyanja zingine kama Cheche, unathibitha usomi uliobobea, usomi wa hali ya juu; usomi usiolingana kamwe na usomi mashaka wa akina "Dk". Emmanuel Nchimbi, "Dk". Mary Nagu, "Dk." Kamala, "Dk." Mutamwega n.k. Nchimbi alipata "Phd" yake huku hajamaliza Ordinary Diploma ya Mzumbe!

Hivi PHD ndio nini eeh?
`

majibu yenu yamekaa kihuni huni

niliposema nimeishia form 4 ya pale KIMBWELU nilikuwa namaanisha kuwa niishia lakini si kuwa nilimaliza hivyo naombeni sana mnitoe katika kundi la walosoma..maana wenyewe wapo humu akina Rev Kishoka na Pundit
 
usha PACHIA wewe ulikuwa unataka kusema BUGA lakini ukaishia kusema bulga...heheheee hoiiii....bora wewe mwenzetu ulikuwa hukuenda vidudu wenzio hata hiyo vidudu hawaijui maanake

Buga unayojua wewe ni tofauti na Bulga anayojua Mwanakijiji.
Mimi pia nilikosa ile Bulga ile chakula safi inayopikwa swaaafi ikichanganywa na maziwa ya unga.By the way wewe GT hiyo gradu ya said yakub imekupa changamoto gani na hiyo elimu yako ya Magumashi???
 
hahahahaaaaa.Mie si muhimu...muhim yuyo mboewe rais mtarajiwa

ebwana hulali?

au ndio katika jutafuta wale watu ambao ni vurnable?
 
Mwee!!

Sikuwa najua shule inatisha namna hii.
&8%$#@*&^%$#@% Grrr Grr Grrr Grr!
Watu maneno yanawatoka kama vile PhD ya SY imevaa ngozi ya Nungunungu?
Inabidi niuhagi kwa sana Huu mkaratasi wangu wa mchundo,kwani ndo shule ya juu kabisa nilowahi kukanyagia.

Ahaaaa!! Kumbe Madela=Fundi Mchundo......
 
Heri yako wewe wa form 4 wengine tumeishia std 7 ya motomoto pale Karume Primary.

Hongera SY

Hongera Mkuu angalau unajua kusoma na kuandika. Pia umefanikiwa kupambana na mmoja wa maadui wa taifa letu...., UJINGA! Teh teh teh....
 
Buga unayojua wewe ni tofauti na Bulga anayojua Mwanakijiji.
Mimi pia nilikosa ile Bulga ile chakula safi inayopikwa swaaafi ikichanganywa na maziwa ya unga.By the way wewe GT hiyo gradu ya said yakub imekupa changamoto gani na hiyo elimu yako ya Magumashi???

Majita, wakati mwingine asiyejua maana haambiwi maana; kwa vile mtu anajua hiki anadhani pia anajua kile basi wengine tunakaa pembeni kusubiri apewe elimu. Sasa mtu atakuwa na ujasiri wa kuomba radhi au kukubali kusahihishwa. I don't think so.

Bulga bwana ilikuwa na utamu wake wa pekee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom