Hongera mradi wa maendeleo wa Dar Metropolitan Development Project kwa Ilala, Kariakoo inanoga

Kwa ujumla sielewi, sijui Tanzania Wachora ramani za Majiji yetu ya Dar na Mwanza serikali iliwatoa wapi?

Yaani wao wame Focus ktk barabara zakunyooka tu. Fly-Over yenyewe ya Ajabu.

Tujaribu kutumia Wakandarasi wa majirani wetu, wanao iboresha Nairobi. Uone Round about, Fly-over za maana na barabara nyingi na ndogo ndogo zinavyo zalishwa jijini kuondoa msongamano.

Tembelea Mombasa Road au Thika Road kuelewa Kenya wanafanya nini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom