Hongera RC Makalla, hakika vibanda vya Machinga ulikuwa ni uchafu

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,589
20,898
Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Pia mkuu wetu wa mkoa Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza

tmp-cam--147410472.jpg
 
Siasa bana,eti Wanasema Bananga karudi ccm,Wanaogopa kusema kahamia ccm TOKA Chadema.

Hawa ndo waliokua ma role model wa vijana wa Chadema,wanawachezea akiliiii wakiguswa maslahi yao kidogo tu wanalipukaaaaa.

Binafsi siamini kabisa katika Siasa na democracy za kiafrica.Ni upuuzi tu kuanzia muasisi wao wa siasa za nchi hii a.k.a fisiem
 
Kabla ya kwenda Chadema Ally alikuwa mwana Ccm, kwa hiyo ni sawa tu kusena amerudi Ccm! Au ni kipi usichoelewa mkuu?
 
Back
Top Bottom