Hongera mheshimiwa Jakaya Kikwete kwa uamuzi mgumu, sasa wapinzani hawana cha kuongea! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera mheshimiwa Jakaya Kikwete kwa uamuzi mgumu, sasa wapinzani hawana cha kuongea!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mujumba, Apr 15, 2011.

 1. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  nipende kuuangana na watanzania wenzangu kukupongeza kwa uamuzi mgumu uliouchukua wa kusafisha chama cha mapinduzi,kwa mtu yoyote aliyekomaa kisiasa na mwenye busara hawezi kushindwa kutoa pongezi zake kwani ni viongozi wachache sana katika dunia hii wanaoweza kusafisha chama tena kwa kuondoa viongozi wa juu kabisa,hili liwe fundisho kwa wapinzani hapa nchini kwamba mabadiliko ndani ya chama yanawezekana ikiwa tuu watatumia busara.
  sisi vijana wako tuko pamoja katika ujenzi wa nchi hii,Mungu akubariki na akulinde siku zote.
   
 2. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hongera kwa pongezi japo katika kutekeleza jukumu lako umekosea njia

  Nenda kwenye facebook page yake post pongezi zako huko maana yeye sio mpitaji huku kama ilivyo kwa wanasiasa wengine kama wakina Dr. Slaa

  Kwa ushauri mzuri tu na wa maana, ni vema ukapeleka kule ni rahisi kwake kusoma kuliko kutuletea sie.......

  And if you are thinking mmenytang'anya wapinzani (namaanisha WAPINZANI) hoja basi you are deadly wrong......kamasi litawatoka sana..........hoja mtakuwa mmewanyang'anya wale wanandoa wenzenu wale
   
 3. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 461
  Trophy Points: 180
  Ingekuwa wamefanya kwasababu wanapenda wananchi tungeelewa lakini ni kwasabau wanaogopa kushidwa. Tatizo ni maendeleo si watu siasa hazileti maendeleo bali watendaji na uongozi wa serikali ndio unaleta maendelea. Kumtoa katibu wa chama kutasaidia vipi ujenzi wa barabara, mgao wa umeme, kiwango cha elimu kinachoshuka, uhaba wa maji vijijini na ujenzi wa barabara!!!!. Hii ni pumba tu
   
 4. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamaa wewe unapoint!
  CCM kwa sasa ni mfuasi wa vyama vya upinzani, kwani wanavyoonekana siyo proactive katika maamuzi, we tizama tu kuanzia katiba, maamuzi ya kubadili chama, n.k, ni wapinzani, sijui ni lini CCM watakaa na kujifunza. CCM wana sera nzuri kwenye vitabu ila utekelezaji 0
   
 5. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  No comment Kashaga asije sema nina nipo bias katika kujibu post zake ila wengine watanijibia tu.
   
 6. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mahala pazuri pa kujipendekeza kwa JK ni kwenye ukurasa wake wa Facebook,sio hapa.
   
 7. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Hahaha Wananchi ndo wakupongezwa kwa kazi nzito waliyofanya ya kupigia kelele mafisadi wa CCM sasa hiyo ni kazi ambayo ilianzishwa na Dr. Slaa - CDM kwenye mkutano mwembeyanga na list ya Mafisadi. Kwa sasa hawana cha kusema zaidi ya kukaa pembeni kufurahia mafanikio ya lazima CCM waliyoyafanya
   
 8. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Unampongeza kweli au unamkejeli?
  Amesafisha chama kwa kumfukuza nani? Sasa kama wewe ni miongoni mwa vijana wake yaani ndugu wa Ridhiwan unashindwa vipi kujua kinachotokea? Kamati Kuu ina wajumbe wangapi? Unadhani Rostam, Lowasa, Karamagi na wenzao wanahitaji kuwa ktk Kamati Kuu ili kufanya ufisadi wao? Wakati Karamagi anapewa Ukiritimba kwa miaka kibao bandarini alikuwa ktk K/Kuu?
  Chama chenu kitakufa kwa sababu ya unafiki kama huo! Rostam, Lowasa, Karamagi na JK wanastahili kushtakiwa kwa kuipora nchi na si kuondoka ktk Vikao vya chama. Angalia jinsi gani watu kama Jan Mak watakavyowatumikia vizuri hao unaodhani wametimuliwa katika kamati kuu. Kwa ufupi usimdanganye Mh. JK kwa kumsifia kinafiki. Msaidie kwa kumwambia ukweli kwamba amechapia kwani kujivua gamba ni pamoja na yeye aliyewaachia mafisadi kutamba kujivua madaraka ambayo hayawezi hata robo.
  Mngekuwa wakweli na wawazi mngemsaidia kwa kuwa yeye mwenyewe anasema hajui chochote.
   
 9. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida CCM have done the talking, are they going to do the walking?

  Watu wanachotaka ni maisha bora, sio kujivua gamba.
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  cc bado yup[o MKAPA na MEGHI ambao wana misururu ya kashfa
  Wezi wa EPA waliambiwa rudisheni pesa msamehewe
  Sofia Simba ni pro-fisadi bado yuko wizarani

  Kwa kifupi JK ni gamba subiri amsulubu EL ,RA,AC uone baada ya 2015 kashfa za JK zitakavyotingisha nchi.
  Hivi kwa akili yako pesa ya KAGODA aliitumia nani kama si gamba JK??
  Nani alikuwa akimuongoza EL on Richmond mpaka akapewa tenda ?
   
 11. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Hapo kwenye ni 'very very true'
   
 12. Ericus Kimasha

  Ericus Kimasha Verified User

  #12
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 27, 2006
  Messages: 488
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Kwa hakika JK anastahili pongezi za kila anayeamini "Bila CCM imara (chama dola), Nchi inakwenda mrama". Kwa hatua iliyofikiwa, tumpongeze ila tusiichie hapo. Tumwongezee msukumo kuona azimio la kuwaondoa mafisadi katika nyadhifa zao ndani ya chama linatimia katika muda uliowekwa. Ikitokea ukaidi wowote au mabadiliko yoyote kuwabakiza hao mafisadi; anguko la imani inayoanza kurejea kwa ccm na M/Kiti wake litakuwa kubwa zaidi kuliko ilivyo sasa. Na ukaidi huo unaweza kupelekea misuguano ndani ya chama kuwa ya Ki-Mafia zaidi kiasi cha hata kumwondoa M/Kiti kwa stahili ya AKUANZAE, MMALIZE!
   
 13. B

  Blessing JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmmh huyo JK atakiwi kabisa upongezi kwa sababu where was him all these years ?? SLEEPING OR DREAMING ?? Amefanya ili ajivue gamba lakini asaidie. Wala sio kuvunja nguvu CHADEMA -- PEOPLES POWER ila ndio kwanza VITA VINAANZA. Yeye asubiri tuu MZEE NVI ----BABA RICHMOND ataingia karibu na gear kubwa kumanika tuu; kwani JK anaonekana MR CLEAN asubiri tuu. He should start digging his grave before is he stripped off naked. Ooooooh what a game ???
   
 14. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  The following user groaned Kashaga for this useless post
  genekai (today)
   
 15. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Hivi kubadili kamati mwaka mmoja kabla ya muda wake ndo hatua ngumu? hatua ngumu ni kufumua mfumo wote dhalimu wa kifisadi na hatua muafaka kuchukuliwa dhidi yao...
   
 16. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  that is the next step,huwezi kufanya everything within a day,even ROMA haikujengwa kwa siku moja! just relax kila kitu kitakuwa shwari
   
 17. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  KASHAGA BWANA unanichekesha kila siku tulikuwa tunasema hapa kuwa ccm mafisadi jisafisheni ULIBISHA SANA, LEO unatoa pongezi za nini kama si upuuzi tuuu umekujaa! nilidhani utasikitika kuwa chadema wameshinda na mtawafuata sana cdm ninyi. chakufanya sasa nikutoa kashfa zoote ambazo chadema walisema wao si ndo kioo chenu?
   
 18. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hahaaaaa....brother naona unakamiss katufe.....kana ladha yake sana hasa kwa wale wanao-struggle mental illness
   
 19. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #19
  Apr 15, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  WAPINZANI GANI HAWANA CHA KUONGEA??LABDA CUF,NSSR,TLP NA WENGINE

  ILA CDM TUNAJUA NI MAIGIZO TUU UFISADI UKO PALE PALE TENA UNAONGOZW NA MKUU WA NCHI MWENYEWE

  nani asiyejua labda wewe;
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  peleka pongezi zako hapa. www.ccm.co.tz. au jakaya kikwete facebook
   
Loading...