Kama watanzania wengi, nilikua napata wasiwasi kwa mh. Sitta kupelekwa wizara ya afrika mashariki. Hotuba aliyoitoa juzi hasa kipengele alichopendekeza kuwepo kugawana nafasi za kazi(quota system) katika jumuiya ya afrika mashariki (eac) kwa kweli kilionyesha mapenzi makubwa kwa watanzania na wengine wa jumuiya hiyo kwani imekuwa ni ya wakenya na waganda hasa nafasi nzuri na hili limekua lalamiko la watu wengi hasa arusha.
Hongera mh. Sitta, kweli wewe ni mtetezi wa watu. Kuingia kwako wizara hii sasa nimeona ni faraja na tumaini na usiachie hewani hakikisha hii jumuiya inakua ni ya manufaa kwa wote.
Hongera mh. Jakaya kikwete kwa kumteua mtu sahihi naamini hapa kazi itakwenda.