Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 141
Kwa wale ambao tumefatilia kipindi cha maswali na majibu cha Bunge letu tukufu linaoendelea hasa kwenye wizara ya Mifugo na maenendeleo ya uvuvi (wizara ya kitoweo) nadhani mtakua mnanielewa.
Michango ya yote ya wabunge kwenye miswada yawizara hiyo ilikua mizuri na ya kuvutiwa,kila mbunge akijaribu kuwakilisha wananchi wa jimbo lake vizuri kabisa ikionyesha wakitetea maslai mbali mbali ya wapiga kula wake.
Lakini pongezi zangu za pekee zina mwendeea Muheshimiwa Mudhihili,michango ya muheshimiwa huyo ni dhahili imetutoa kimaso maso sisi watu wa Pwani na juu la swala zima la uvuvi kwenye maeneo yetu.
Kuna msemo ule msemo wa "adhabu ya kaburi'aijue maiti". ndio hasa una apply kwa michango yote ya wabunge na Muheshiwa Mudhihili,walichokuwa/alichokua akikisemema ndio hasa ukweli wa mambo yenyewe yalivyo,yaani watu (watafiti wa wizara hii ya kitoweo) baada ya kufanya research zao vizuri kwa kuwahusisha wahusika wao nikukaa ofisini na kuandika miswada na majumuhisho yao hasa yanayo kugusa maisha ya watu na kuishi kwao(desturi na mila zao) kwa ku-base na nadhalia wazisomazo vitabuni na kusikia sikia tu.
Mfano swala la uvuvi ni maisha kwa watu wa pwani yaani,ili wakazi wa jamii hizi za pwani waweze ku-Sustain their livehood lazima shughuli za uvuvi zifanyike usiku na mchana ,kama jamii ya Kimasai na Ufugaji wa Ngombe.sasa inakuaje uwaambie watu hawa wasifanye shughuli hizi..? just because of your lame excuses za uvuvi haramu ,wakale wapi au haya ndio maisha Bora...?
Hivi waheshiwa watunga sera hizi mnajua jinsi gani watu wa Bara yaani watu wanotoka mikoa ambayo haijuisishi na uvuvi walivyo jaa kwenye mikoa ya pwani na baadhi wanajihusisha moja kwa moja na shughuli hizi za uvuvi.Mfano ninapoishi mimi kuna hata Mmasai ambaye ni mvuvi,je mnadhani hakutakua na mkanganyiko kwenye shughuli zake za uvivi ?huo ni moja tu ya mifano mingi so kala hamjakaa na kuweka makatazo ni ladhima muwashilikishe watu wa jamii husika.
Na hii ndio MH.Mudhihili alikua anajaribu kusema kwa dhati yake na maswalai ya wapigakula wake na watu wote wa pwani ya bahari na maziwa.
Juzi tu nilikua natoka kigamboni nimeshuhudia kwa macho yangu wachhuzi wakitoka kununua samaki ambao wanatoka Yemen kwenye maboksi wakiwa na Label za ubora kutoka Yemeni,nilipo uliza sababu za wao kununua samaki hao.....nikajibiwa kwamba serikali imepiga marufuku uvuvi kwa boti za uvuvi na mambo mengi yenye mchanganyiko.
Nikauliza je,....Hivi bahari yetu imeisha samaki? nikajibiwa hiyo nikawaida kwa mambo kama hayo kufanywa na wanasiasa wetu(serikali)
Sasa nikajiuliza hivi ni bora kununua samaki kutoka nnje ya nchi au tuvue wakwetu,jibu likaja kwa mchango wa Mh.Mudhihili.
Tena,Pongezi MUHESHIMIA MUDHIHILI

Last edited: