Hongera Mh. Msigwa kwa kuwaambia wabunge wenzako ukweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Mh. Msigwa kwa kuwaambia wabunge wenzako ukweli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MussaBubu, Jun 18, 2012.

 1. M

  MussaBubu Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inakuwaje Mbunge unaunga hoja ya bajeti mkono kwa 100%,halafu katika mchango wako wote katika bajeti hiyo unailaumu serikali kwa kutozingatia mambo muhimu.Je huku sio kuwahadaa wananchi?
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja
   
 3. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivyo huyo mbunge ni VITU MAALUMU
   
 4. m

  mamajack JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ni ukweli usipingika,huwezi kutoa udhaifu wa kitu 98%then at the end unakubaliana na kitu hicho.ni kweli wantuhadaa sana wabunge wetu,
   
 5. Walikughu

  Walikughu Senior Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  It is true, Wabunge wa CCM wawe makini na kauli zao ndiyo maana kila siku wanaleta vitu vilevile kwa sababu wanajua watapiga kelele mwisho wataunga mkono mia kwa mia.Na hii wanafikiri wanaitatea serikali yao kumbe ndiyo nao wanaanguka. Sisi wananchi tunaona
   
 6. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo mbunge aliunga mkono na pia alidiriki hata 'kuwashawishi' upinzani uunge mkono huu uchafu (bajeti) ambao kwa mshangao wangu akaanza kuiponda!!! He!! Ndo matatizo ya kutojua cha kufanya bungeni.. Angezungumza vizuri sana kama angekuwa amenyamaza kimya tuuu (he could have said the best had he said nothing at all!!).....
   
 7. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  heading na content ni tofauti kabisa, halafu taarifa yenyewe utadhani una update status ya Facebook
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  naunga mkono HOJA kwa asilimia mia,,,,lakini ..............HAPA NDO MALALAMIKO YANAANZA
   
 9. F

  FJM JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuunga jambo 100% na hapo hapo angaanza kupinga baadhi ya vipengele! Huu ni ulimbukeni na yoyote anayetetea huo mtindo ana matatizo ya uelewa. CCM wana matatizo sana ya uelewa, na wamekuwa wanaendesha mambo kwa mazoea, ndiyo sababu baadhi yao wanamlaumu Marehemu Mwl Nyerere kama source ya utendaji wao mbovu! They just cannot think straight.

  Pili, sioni logic kwa mbunge kusoma kifungu cha sheria kabla ya kuomba mwongozo kwenye jambo fulani. Kama kanuni zinajulikana au niseme kama wabunge wamesoma na kuzielewa kanuni, kuna haja gani ya kurudia kila mara mtu anapoongea? Huku si kupoteza muda? Unless pale kanuni haijulikani au mwombaji anatumia "ufundi' kuunganisha vifungu vya kanuni na hiyo kumpa mwanya wa kusema anachotaka sioni umuhimu wa kuzirudia kama sala. CCM waache kufanya mambo kwa kuriri! Aibu!
   
 10. m

  manucho JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ndiyo CCM hiyo ukikataa basi wewe ukikataa basi wewe utakuwa mpinzani
   
 11. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  wanasubiria sitting allowance tu waende night club
   
 12. M

  MussaBubu Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio shida ya slow learners,mistari michache unashindwa kuielewa vp ingekuwa pagee moja?
   
 13. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,249
  Likes Received: 406
  Trophy Points: 180
  Watakuwa wamerithi tabia iyo kwani wamekuwa na maneno ayo ya kipuuzi tangu enzi za mwalimu
   
 14. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Tabu iliyopo ni kutetea matumbo,wabunge wengi ni wanafiki na sio wa ccm tu hata na wake zake ni wanafiki
   
 15. k

  kamandamakini Senior Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tunakushukuru mh msigwa kwa kukemea unafiki Wa wabunge Wa ccm go msigwa .tuache unafiki wabunge Wa ccm
   
 16. Nzenzu

  Nzenzu JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 859
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hahahahaha!
   
 17. m

  matawi JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Musa bubu umeweka thread utafiri jf wote wanalala chumba kimoja uwiiii
   
 18. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Tukija kwa topic ya kusema mwl. Nyerere was the source i cant conquer with you, Wajua that time mwalimu alijaribu sana kuwawekea hawa viongozi wetu mazingila ya kuwa viongozi wawajibikaji lakini walimkimbia Mwl. Nyerere na hakuwa na jinsi ya kuwa weka tena kundini na aligundua hilo mapema akang'atuka mifano tu ipo Azimio la arusha walilipinga hawa hawa viongozi wengine wapo wakina kingunge.

  Mwalimu alitaka viongozi wetu wajitambue wao ni taifa dogo linalo kuwa na linalojijenga lenyewe kwa viwanda kilimo na kwa maliasili yake yote but at the end ndio haya madudu ya ubinafsishaji uka waingia hawa viongozi tooooo greed. na ndio maana watu wana QNS kifo cha BABA wa TAIFA ilikuwaje kuwaje akafa, something behind the scene.

  Kwahiyo viongozi wetu kwa 90% ni wao ndio wanaendekeza kufikilia kimasaburi na wasisingizie tuu kila kitu mwalimu kwani wao hawawezi change mbona walipinga Azimio la Arusha why now they cant focus?

   
 19. mashami

  mashami Senior Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 183
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  T2015CDM itawamaliza wala msijali huu upuuzi wa wachumia tumbo utaisha!
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Hawa magamba wangeshtuka kuwa chadema wanawaamsha wananchi huko majimboni kwa jinsi wanavyowadanganya, wangeacha upuuzi wa kuunga hoja za kishenzi 100%
   
Loading...