HONGERA MDADA (WADADA MNATAKIWA KUWA KAMA HUYU)

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,432
2,892
Kulingana na ulimwengu jinsi unavokwenda ni ngumu kidogo kwa zama za sasa kumtokea mwanamke na akawa hakutaki na kukwambia ukweli kuwa hakutaki kulingana na sababu ambazo mwenyewe anazo.

Lengo la kuleta mada hii ya kumsifu huyu bidada ni kwamba. Nilimuona, nikamtamani, nikamuomba namba ya simu wala hakusita akanipatia. Nia na madhumuni ni kumtongoza na kama akikubali basi tubadilishane joto katika vikojoleo.

Lakini baada ya kumtamkia wazi wazi neno lile dada yule mzuri kiasi fulani mrefu, mweusi kidogo, mwenye sura ya kupendeza na nyuma kidogo akiwa amebinuka..... Alinambia kuwa hanitaki na hayuko tayary kufanya hilo tendo na mimi. Aliendelea kusema kuwahapendi kunidanganya na kunipotezea muda wangu na gharama zangu. Hivyo nikae nijue kuwa sitakiwi.

Baada ya kujibiwa maneno yale ambayo kwa namna moja au nyingne yaliniumiza mtu mzima kwakuwa sikutaraji majibu yale.. Lakini baada ya masaa kadhaa nikafahamu kuwa yule binti alinijibu jibu zuri na lililo nyooka kulingana na mwenyewe jinsi alivyoniona. Kama mwanadamu nilijitafakari na kujiuliza mambo haya.

HUYU AMENIKATAA KWASABABU GANI HASA?

A. Ana mtu anayempenda sana?
B. Mimi si taipu yake?
C. Sina pesa?
D. Sina muonekano?
E. Kisa mshamba mshamba wa mkoani?
F. Hanitaki tu?
G. Sitompenda?
na kadhalika na kadhalika

Lakini sikupata jibu halisi.

WITO KWA AKINA DADA
Japo majibu kama haya yanauma,lakini ni muarobaini na ni dawa nzuri kwa mtu ambaye unahisi sio sahihi kwako pale anapokutongoza. Kwani unamsaidia hata yeye mwenyewe kiupande wake. Kuliko kuwa mtu humtaki halafu unaendelea kula vi sumni vyake kama panya anayekula mkono wa binadamu ambaye alikula mchuzi wa dagaa bila kunawa vizuru.

HONGERA DADA
MAJIBU YAKO YAMENIFANYA NIJIONE LOFA, Na nijiskie kuwa nimekiangusha chama cha wanaume.

Lakini sikati tamaa , nitampata mzuri zaidi yako

SHUWAIN WEE
 
Hahahah! Huu ni udhalilishaji! So bora umpotezee kuliko kumpa makavu?
 
Hizi ndio gender frictions!

Mtu karinga na mapenzi yake,another gender ime-mind!

Sexists wametamalaki!
 
Back
Top Bottom