Hongera mbunge wa Ubungo

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,758
437
Mh Mbunge wa ubungo ongera kwa mkala wako wa Dawasco hatimae maji yametoka leo.Kumbe watu wanaogopa maandamano bila mkwala wako maji tuliyasikia mala 4 ya mgao wa umeme

bongo washazoea vitisho ndio maana wakishasikia maandamano kamasi linawatoka..

bora mmepata maji na bado umeme tushachoka ngonjera zao.

<br /
kwa sababu hakuna maji na umeme

Kuna usafi unaoweza kufanyika bila maji na umeme. Hata mpangilio mzuri tu wa mambo ni usafi. Lakini hapo stendi kila kitu shaghalabaghala. Mivumbi, vikwapa, kuchomekeana, vibao vya matangazo visivyoonekana....yaani ovyo ovyo kabisa.

bongo washazoea vitisho ndio maana wakishasikia maandamano kamasi linawatoka..

bora mmepata maji na bado umeme tushachoka ngonjera zao.

<br /
ukweli bila maandamano bongo hii atupati kitu.bora maji dar hii

That was a rhetorical question.

<br /
mkuu tatizo la ubungo ni katatizo ndani ya ubungo .Maji ni tatizo kubwa yanapokosena na ubungo stand maji hakuna ebu fikiri we ni msafiri unafika pale upate huduma ya afya maji hakuna na umati wa watu pale

Huduma gani ya afya unayoweza kupata hapo Ubungo stendi? Kwenda chooni kunya na kukojoa?

Mh Mbunge wa ubungo ongera kwa mkala wako wa Dawasco hatimae maji yametoka leo.Kumbe watu wanaogopa maandamano bila mkwala wako maji tuliyasikia mala 4 ya mgao wa umeme

<br /
au tatizo ni kumsifia mbunge wa ubungo kwa mkwala ya maandamano

bongo washazoea vitisho ndio maana wakishasikia maandamano kamasi linawatoka..

bora mmepata maji na bado umeme tushachoka ngonjera zao.

<br /
cha ajabu jimbo la Kinondoni awana tatizo la maji lakini hili kino wapate maji razima ya pite ubungo ndo ya fike kinondoini Pia na wizara ya maji hipo ubungo na maji ya tabu why

Kuna usafi unaoweza kufanyika bila maji na umeme. Hata mpangilio mzuri tu wa mambo ni usafi. Lakini hapo stendi kila kitu shaghalabaghala. Mivumbi, vikwapa, kuchomekeana, vibao vya matangazo visivyoonekana....yaani ovyo ovyo kabisa.

na wale ma broker wa ticket za mabasi pale stedi kuu ndiyo wanakera kweli kweli ... yaani unaweza ingia stendi umeshakata ticket let say ya DAR Experess halafu wanakugasi na kukuambia kuwa hilo basi limeshaondoka hivyo ukate basi lingine

halafu huwa ni walevi 24/7 plus uhuni uhuni tuu

Hongera mbunge wa Ubungo.
CCM wamekaa miaka nenda rudi lakini hakuna la maana walilofanya.

na wale ma broker wa ticket za mabasi pale stedi kuu ndiyo wanakera kweli kweli ... yaani unaweza ingia stendi umeshakata ticket let say ya DAR Experess halafu wanakugasi na kukuambia kuwa hilo basi limeshaondoka hivyo ukate basi lingine

halafu huwa ni walevi 24/7 plus uhuni uhuni tuu

<br /
hoja nitatizo la maji lakini ni sahihi mbuge kupambana na watu wanao tumia pesa zao kwa pombe? Pia wale madarali na wapiga debe ndo ajira yao kama mnyika na ubunge wake swala pale ni kuwajengea mazingira safi ya kazi

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom