Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 437
Mh Mbunge wa ubungo ongera kwa mkala wako wa Dawasco hatimae maji yametoka leo.Kumbe watu wanaogopa maandamano bila mkwala wako maji tuliyasikia mala 4 ya mgao wa umeme

Ubungo stendi ya mabasi ya mkoa vipi pale....mbona pachafu hivyo?

<br /
kwa sababu hakuna maji na umeme

bongo washazoea vitisho ndio maana wakishasikia maandamano kamasi linawatoka..

bora mmepata maji na bado umeme tushachoka ngonjera zao.
unamuuliza nani sasa?Ubungo stendi ya mabasi ya mkoa vipi pale....mbona pachafu hivyo?
unamuuliza nani sasa?

That was a rhetorical question.

<br /
mkuu tatizo la ubungo ni katatizo ndani ya ubungo .Maji ni tatizo kubwa yanapokosena na ubungo stand maji hakuna ebu fikiri we ni msafiri unafika pale upate huduma ya afya maji hakuna na umati wa watu pale

Mh Mbunge wa ubungo ongera kwa mkala wako wa Dawasco hatimae maji yametoka leo.Kumbe watu wanaogopa maandamano bila mkwala wako maji tuliyasikia mala 4 ya mgao wa umeme
stendi zote za ubungo, hii ya Kingunge na ile ya jirani na Tanesco vyoo vipo safi kabisaHuduma gani ya afya unayoweza kupata hapo Ubungo stendi? Kwenda chooni kunya na kukojoa?
stendi zote za ubungo, hii ya Kingunge na ile ya jirani na Tanesco vyoo vipo safi kabisa

stendi zote za ubungo, hii ya Kingunge na ile ya jirani na Tanesco vyoo vipo safi kabisa

bongo washazoea vitisho ndio maana wakishasikia maandamano kamasi linawatoka..

bora mmepata maji na bado umeme tushachoka ngonjera zao.
Kuna usafi unaoweza kufanyika bila maji na umeme. Hata mpangilio mzuri tu wa mambo ni usafi. Lakini hapo stendi kila kitu shaghalabaghala. Mivumbi, vikwapa, kuchomekeana, vibao vya matangazo visivyoonekana....yaani ovyo ovyo kabisa.

na wale ma broker wa ticket za mabasi pale stedi kuu ndiyo wanakera kweli kweli ... yaani unaweza ingia stendi umeshakata ticket let say ya DAR Experess halafu wanakugasi na kukuambia kuwa hilo basi limeshaondoka hivyo ukate basi lingine

halafu huwa ni walevi 24/7 plus uhuni uhuni tuu

Sidhani kama maandamano ni suluhisho.