Hongera mbunge Ndesamburo kujibu SMS

Private investigator

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
303
287
Nilikuwa nina jambo kama mwananchi mtiifu na mzalendo wa nchi hii. Wiki iliyopita, Alhamis asubuhi kabla ya kikao cha bunge nikatuma SMS kwa wabunge wanajiita watetezi wa wanyonge katibu wote na hoja yangu ni ya msingi, lakini jana Jumatatu nimejibiwa personally na Mh huyu peke yake, ya kuwa atashughulikia hoja nilihitaji msaada kwa Mh Pinda. Hongera Ndesamburo
 
Hata Mzee Lowasa naye ameanza kampeni, japo mnafumba macho huku mnajisahau kuwa masikio yanasikia na hujaja wa kuyaziba haupo tena maana mnamikono miwili tu iliyokwisha kuziba macho.
 
Back
Top Bottom