mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
leo umeonesha kurekebisha makosa yako.nakupongeza na ndivyo mwanahabari unatakiwa uwe.kipindi kilikuwa kizuri hauku side wala haukuwa bias
leo umeonesha kurekebisha makosa yako.nakupongeza na ndivyo mwanahabari unatakiwa uwe.kipindi kilikuwa kizuri hauku side wala haukuwa bias
Naona Umeamua Kupiga Kona Na Kuwahi Kufunga Mwenyewe Mkuu Nikimaanisha Kuwa Unatuzuga Tu Hapa Wakati Kumbe Wewe Ndiyo Huyo Mtangazaji Mwenyewe. Anyway Hongera Kwa Leo Kuendesha Kipindi Ukiwa Peke Yako ILA Naomba Kujua Kwanini Unapenda Sana Kuupinda Mdomo Wako Sana Upande Wa Kulia Kila Unapokuwa Unaongea? Ni Swaga Tu au Ndiyo Ule Msemo Wetu HUJAFA HUJAUMBIKA?