Hongera mamlaka ya mawasiliano

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Hivi majuzi Mamlaka ya mawasiliano ilitangaza kuwa chukulia hatua kali za kisheria wafanya kazi wa makampuni ya simu ambao hutoa siri za wateja.

Nasema hiyo haitoshi bali iongeze kuwachukulia hatua makampuni ambayo huwa yanawaibia wateja.

Kwa mfanao mimi mwenyewe mpaka sasa nahangaika sana na line yangu moja ya tigo. Stori ilikuwa hivi , niliona tangazo kwenye gazeti likisema Kama unataka taarifa za Aya, hali ya hewa na Mapenzi tuma ujumbe kwenda namba 15786 ili kujiunga. Pia "vigezo na masharti kuzingatiwa"

Lakini tangu nijiunge nakwata shilling mia tano kila siku. Na nikitaka kujitoa siwezi nimekwenda kwenye ofisi za tigo za City na Mtaa wa Ohio eti wamesema wao hawaijui namba hiyo. Mpaka sasa sina raha na namba yangu hiyo ya tiGO , kibaya zaidi hiyo namba inafahmika na ndugu, jamaa na marafiki kibao, nikisema niiache maana yake ni kupoteza mawasiliana na watu kibao.

Lakini jamani huu si wizi wa kutuibia sisi wateja ??? Inakuaje ukijiunga na huduma hiii huwezi kutoka ???
 
Acha kupongeza maneno ya kisiasa! hizo pongezi zitoe baada ya hao jamaa kuchukua hatua, vinginevyo ni mapema mno!
 
Kumbe wafanyakazi wa kampuni za simu ndio wanaotoa siri zetu eeh? Dawa yenu inakwiva
 
Hivi majuzi Mamlaka ya mawasiliano ilitangaza kuwa chukulia hatua kali za kisheria wafanya kazi wa makampuni ya simu ambao hutoa siri za wateja.

Nasema hiyo haitoshi bali iongeze kuwachukulia hatua makampuni ambayo huwa yanawaibia wateja.

Kwa mfanao mimi mwenyewe mpaka sasa nahangaika sana na line yangu moja ya tigo. Stori ilikuwa hivi , niliona tangazo kwenye gazeti likisema Kama unataka taarifa za Aya, hali ya hewa na Mapenzi tuma ujumbe kwenda namba 15786 ili kujiunga. Pia "vigezo na masharti kuzingatiwa"

Lakini tangu nijiunge nakwata shilling mia tano kila siku. Na nikitaka kujitoa siwezi nimekwenda kwenye ofisi za tigo za City na Mtaa wa Ohio eti wamesema wao hawaijui namba hiyo. Mpaka sasa sina raha na namba yangu hiyo ya tiGO , kibaya zaidi hiyo namba inafahmika na ndugu, jamaa na marafiki kibao, nikisema niiache maana yake ni kupoteza mawasiliana na watu kibao.

Lakini jamani huu si wizi wa kutuibia sisi wateja ??? Inakuaje ukijiunga na huduma hiii huwezi kutoka ???

wangekutatulia hilo tatizo lako dogo ndio ungewapongeza....hao ma*****rauni wa kisiasa sio wa kushabikia
 
acha kupongeza maneno ya kisiasa! Hizo pongezi zitoe baada ya hao jamaa kuchukua hatua, vinginevyo ni mapema mno!

nashukuru mamlaka ya mawasilianao wamesikia kilio changu na sas nimeondolewa kwenye huduma hiyo. Ahsanteni
 
Back
Top Bottom