Hongera Mamire chuo cha ualim kwa wanafunzi wahitimu wa 2016 kupita kwenye chujio la ajira na kuajiriwa

Bombardear

JF-Expert Member
Aug 24, 2017
241
193
Nilikuwa napitia tuuu baada ya machungu ya kukosa ajira ya ualimu nikajaribu kupitia walimu walioajiriwa wa mwaka 2016 na kisha nikapitia wa mwaka 2017. Nilianza na waalimu waliomaliza 2016 ni wengi walioajiriwa kati ya hao walioajiriwa chuo kinachojulikana kwa jina la Mamire chuo cha ualimu waliomaliza hapo wengi wameajiriwa.Katika chuo kinachoongoza kwa watahiniwa wake kuwa wengi wamemaliza 2016 na pia wameajiriwa katika hizi nikajiuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu ni nani mmiliki wa chuo hiki? Je chuo wamehonga pesa kwa waajiri ili wanafunzi wao waajiliwe?Au wanakitangaza chuo kwamba ukisoma hapo lazima uajiliwe kwa kuwa wanahisa na tamisemi? je kwasisi ambao tunashindia maji tunaweza kusoma chuo hicho? Au kinamilikiwa na mmoja wanaotoa ajira hapo ndio maana wanafunzi wake wengi wameajiriwa?
Pia nimesoma kuna mwanafunzi mmoja amesoma sua diploma ya ualimu 2016 na ameajiriwa je tangu lini Sua ikaaanza kutoa stashahada ya ualimu?


Pia waliomaliza 2017 na kupangiwa vituo hapa kuna tatizo kubwa la rushwa,Utumiaji wa ovyo madaraka na pia upendeleo au ni watoto wakubwa
Kwani hatujui ni lini waliomba hizi nafasi na kama zingetangazwa nahisi wanafunzi wa vyuo vyote wangeonekana kwanini SEkomu 80,Udsm12 na Udom 2 what abuot Sua? Serikali tunaomba izipitie ajira hizi kwa Umakini vinginevyo kitengo cha ajira tamisemi wanatumia nyanja hizi kujitajirisha Mhe Rais tuoneee huruma na tusikilize sisi wanyonge
 
Acha mbwembwe wew,,, mbona ajira zilitangazwa watu watume maombi tamisemi,,,, sema watu walibweteka wakijua jiwe hana time nao tenaaa,,, watu wakajitoa akili wakaaply,,, wamepata mnaanza kusema rushwa,,,,,, pole sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom