Mzee Abed Karume alianzisha ujenzi wa makazi ya wananchi kule michenzani siku chache tu baada ya kujitawala. Mwalimu Nyerere nae alianzisha ujenzi wa Makazi ya watu, sote tunayaona makazi ya Ubungo flats. Kiongozi wa Libya Gaddaf nayeye alianzisha mpango wa makazi ya watu hadi kufikia kijana akioa anapewa apartment ya kuishi bure yeye na familia yake.
Baada ya hawa viongozi tunashuhudia kiongozi wetu akianzisha ujenzi wa makazi ya watu, nasema ujenzi sio kuboresha kama Kagame. Kaanza kuhakikisha watoto wetu wanapata makazi yaliyobora na rafiki kwa kusoma, hongera sana.
Hakuishia hapo wakazi wa magomeni nao watapatiwa makazi bora baada ya makazi yaliyojengwa na mkoloni kuvunjwa na sasa anajenga makazi mapya na ya kisasa kabisa. Nasikia hata kule mwanza wakazi wamilimani nao watajengewa nyumba waondokane na maisha hatarishi ya milimani. Pia maeneo ya uwanja wa fisi nayo yapo kwenye mpango mkakati wa kuvunjwa na kujengwa upya na kuwa mitaa ya kisasa na yenye mandhari ya kuvutia.