Hongera Madaktari na Manesi wa Hospital ya Kaloleni - Arusha

aggyd

Senior Member
Apr 1, 2016
181
93
Nawapongeza madaktari na manesi wa Hospital ya Kaloleni, wodi ya wazazi, kwa jinsi wanavyofanya kazi kwa uweledi. Wana lugha nzuri kwa wagonjwa. Hongera sana kwa Mganga Mkuu wa hospital hii.

Mungu awabariki.
 
Mama na mtoto wapo salama. Hongera!! Kushukuru ni kuandaa mazingira mazuri kwa wengine wapate huduma nzuri.
 
Back
Top Bottom