Hata ivyo ilan ya CCM kwa miaka hyo yote hajawahi ongelea kuhusu umasikini na yeye alikuwa anatekeleza yalimo humo
Bayona;
Usimwonee mtu, uwe mkweli tu na mengine yoote yatajisema tuu. Tangu lini Lowasa akatekeleza kitu?? Wali mkata kwa sababu aliwaambia kuwa akishika atatenda tofauti na sera zao.
ccm hawajawahi kutaka kuuondoa umasikini kwani wanajua watu wakiondokewa na umasikini hawatawachagua tena. Ndo maana tunakuambia chagua UKAWA uone MABADILIKOOOOOO. Usiwasikilize ccm ati nao wanasema wataleta mabadiliko. Wenyewe wanaimba kuwa ccm ni ile ile hivyo ukiwachagua usijelia kama hakuna mabadiliko